Kwa anayemfahamu huyu MTANGAZAJI wa STARTV

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,601
4,085

WAKUU,

HUYU DADA ANAYESOMA TAARIFA YA HABARI STAR TV USIKU HUU ANAITWA NANI HUYU??

VIPI AMESHAOLEWA HUYU??
-------
NIPENI JINA LAKE NA IKIWEZEKANA MAWASILIANO YAKE FASTA.

LOOKS
SO MAGNIFICENT,
SO MATERIAL!!!
1479239275332.jpg
1479239289539.jpg
 
We huyo ni mama wa rafik yanguuuuu!!!! Ngoja nimwambie aje atukane matusi Hapa
 
WAKUU,

HUYU DADA ANAYESOMA TAARIFA YA HABARI STAR TV USIKU HUU ANAITWA NANI HUYU??

VIPI AMESHAOLEWA HUYU??
-------
NIPENI JINA LAKE NA IKIWEZEKANA MAWASILIANO YAKE FASTA.

LOOKS
SO MAGNIFICENT,
SO MATERIAL!!!

Ukipata namb yake niforwardie make najua ww huchomoi mkuu.............. :D :D :D

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
WAKUU,

HUYU DADA ANAYESOMA TAARIFA YA HABARI STAR TV USIKU HUU ANAITWA NANI HUYU??

VIPI AMESHAOLEWA HUYU??
-------
NIPENI JINA LAKE NA IKIWEZEKANA MAWASILIANO YAKE FASTA.

LOOKS
SO MAGNIFICENT,
SO MATERIAL!!!
View attachment 434753 View attachment 434754
Naomba kuambiwa sababu ya watu kuacha hizo sticker iliyobandikwa upande wa kushoto wa TV.
Maana nishaona watu wengi uwa wanaiacha wakati mimi naoba kama inaziba kioo to some extent.
 
Naomba kuambiwa sababu ya watu kuacha hizo sticker iliyobandikwa upande wa kushoto wa TV.
Maana nishaona watu wengi uwa wanaiacha wakati mimi naoba kama inaziba kioo to some extent.
ushamba, hazina issue yoyote, zinakufanya utazame tv yako kama vile umeiiba, maana utakuwa unaichungulia, kwani mastika mengine ni makubwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom