Gachuma jr
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 839
- 453
Wakuu nimeanza ufugaji kondoo na ninataka kuwa mfugaji mkubwa, nina shamba la kutosha. Kupitia hapa naomba mwenye ufahamu zaidi wa soko anisaidie.
Asante.
Asante.
Upo sehemu gani?Wakuu nimeanza ufugaji kondoo na ninataka kuwa mfugaji mkubwa, nina shamba la kutosha. Kupitia hapa naomba mwenye ufahamu zaidi wa soko anisaidie.
Asante.
Hongera sana mkuu upo sehemu gani?Wakuu nimeanza ufugaji kondoo na ninataka kuwa mfugaji mkubwa, nina shamba la kutosha. Kupitia hapa naomba mwenye ufahamu zaidi wa soko anisaidie.
Asante.
Wakuu nimeanza ufugaji kondoo na ninataka kuwa mfugaji mkubwa, nina shamba la kutosha. Kupitia hapa naomba mwenye ufahamu zaidi wa soko anisaidie.
Asante.
Naanza na hawa wa kienyeji MkuuHawa wa kienyeji au kama wale wa kericho-kenya?
Ni nzuri sana mkuu ila mapishiSijawahi kula
Huku bara hasa Mbeya wamezoea Kitimoto sana na ninaweza kupitisha mwaka sijaonana na kondooNi nzuri sana mkuu ila mapishi
Kweli Mbeya kitimoto iko juu sana hasa na ule mchicha wanaouloweka kwenye mafuta dhu! umenikumbusha mbali mkuu, ila kondoo ikichomwaa au kukaangwa huwa inapendeza sana mkuuHuku bara hasa Mbeya wamezoea Kitimoto sana na ninaweza kupitisha mwaka sijaonana na kondoo
Kweli Mbeya kitimoto iko juu sana hasa na ule mchicha wanaouloweka kwenye mafuta dhu! umenikumbusha mbali mkuu, ila kondoo ikichomwaa au kukaangwa huwa inapendeza sana mkuu
Wakuu nimeanza ufugaji kondoo na ninataka kuwa mfugaji mkubwa, nina shamba la kutosha. Kupitia hapa naomba mwenye ufahamu zaidi wa soko anisaidie.
Asante.
HatariiiiiChachandu na ndizi wanaziminya minya hatari sana
Mkuu soko lipo la kutosha tu, especially pale IgomaNipo Mkoa wa Mara,eneo lipo wilaya ya Bunda.
Pugu mnadani...vingunguti dsmWakuu nimeanza ufugaji kondoo na ninataka kuwa mfugaji mkubwa, nina shamba la kutosha. Kupitia hapa naomba mwenye ufahamu zaidi wa soko anisaidie.
Asante.
Asanteni,nalifanyia kazi.Pugu mnadani...vingunguti dsm
Mkuu soko lipo la kutosha tu, especially pale Igoma