JAMBONIA LTD
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 576
- 263
- Thread starter
- #41
E walaa ila na wakati mwengine wao pia wanakuwa na master hata PhD .....Hujamuelewa sheikh,kwenye vyuo vikuu,huwa Kuna ma technician ambao huwa wanawasaidia wanafunzi wa ngazi za bachelor,Masters,PHD kufanya practicals zao,kama kuwatayarishia vifaa nk,sasa mdau anauliza,hao matechnician wanalipwa ngapi?kuanzia wale wanaosaidia watu wa bachelor mpaka PHD