Jamani ningependa kujua details za Minaki in case of enviroment kwa anayeijua. Na pia kwa wale wanaosoma hapo, au wenye taarifa shule inafunguliwa lini ningeomba mnijuze.
.Guyz hakuna mtu asiyejua matatizo ya shule za Govt, cjui ubovu wa vyoo, uhaba wa maticha, yote hayo nayajua ila nnachotaka kujua ni mazingra yake ipo mjin au kijijini na inafunguliwa lini?
Mi mtoto wa kiume Born 2 fight siwezi kuogopa fangas
.mimi nilisoma minaki nikapiga one kali sana na sasa hivi niko mbele. wewe nenda kasome mambo mengine utayakuta huko huko walimu sio tatizo kwani mwanaisha alisoma shule yenye walimu kibao ila kaambulia div four ya maana
Guyz hakuna mtu asiyejua matatizo ya shule za Govt, cjui ubovu wa vyoo, uhaba wa maticha, yote hayo nayajua ila nnachotaka kujua ni mazingra yake ipo mjin au kijijini na inafunguliwa lini?
Mi mtoto wa kiume Born 2 fight siwezi kuogopa fangas
.Kapige shule mkuu.. Nilipiga shule hapo A level pia, iko katikati ya pugu na kisarawe siku hizi mkeka tupu mpka kisarawe, ijumaa kama kawaida masomo mwisho saa sita unadrop mjini kula bata jumapili jioni au jumatatu alfajiri unageuka ila enzi hizo kulikua na recall jumapili jioni saa 12(enzi za marehemu Mjale RIP) alikua anaruhusu watu kudrop town ijumaa sijui siku hizi pakoje, mabweni yalikua yamechoka enzi hizo except mnyampala ambalo sisi tulikua tunaliona kama la mabrazameni! wagumu tulikua tunakaa makongoro hakuna dirisha wala mlango mamaee ila maisha yalikua yanaenda na tulitusua vilevile... msosi kama kawa kwa maisha ya bweni ila kuna kina mama wauza dagaa na kisamvu vilevile feza zako tu..
mimi nilisoma minaki nikapiga one kali sana na sasa hivi niko mbele. wewe nenda kasome mambo mengine utayakuta huko huko walimu sio tatizo kwani mwanaisha alisoma shule yenye walimu kibao ila kaambulia div four ya maana
.
Kisamvu kwa "mama kinyogori"..
Mie ni mmoja kati ya wanafunzi waliochaguliwa kama vp nipen madetaits vp kuhusu mpira
Mie ni mmoja kati ya wanafunzi waliochaguliwa kama vp nipen madetaits vp kuhusu mpira
.
SI unit like this.
Minak bonge la shule kwa mtu anayejituma, hamna lelemama wala ugoigoi pale. Ni kama jeshi.