Video ya Mtasubiri imeshutiwa Minaki High School

Video ya Mtasubiri imeshutiwa Minaki High School

Pastory Kimaryo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
967
Reaction score
672
Sina maneno mengi zaidi ya kusema kuwa bwana mkubwa Mond katimba hadi Minaki high school na kushoot video pendwa na bi dada Zuchu.

Heshima iliyoje wa alumni wa Minaki na uongozi wa shule.

Halafu pia, vipande vingine ameshoot maeneo yale yale ya Kisarawe

Ukiangalia video hii utaona madarasa na majengo mengine ni kama vile yamekuwa ya kisasa sana, naamini hizo zilikuwa juhudi za mheshimiwa Jokate Mwegelo wakati alipokuwa DC wa Kisarawe.
IMG-20220406-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom