Kwa anayefahamu...

pepim

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
335
51
Wanajf wenzangu poleni na majukumu ya hapa na pale..............Ni hivi kwa yeyote anayefahamu faida za matango(pori na ya kisasa) na malimao katika miili yetu sisi wanadamu..Msaada tafadhali maana nilipita sehemu nikawaona watu wanayashambulia sana ingawaje yalikuwa yakiuzwa kwa bei ya juu.Nataka na mimi nianze kuyashambulia.
 
Back
Top Bottom