pepim
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 335
- 52
Poleni na majukumu ya hapa na pale wanajf wenzangu.................
Ni hivi naombeni kujuzwa gharama za kununua usukani mpya wa bajaji(TVS) uliokamilika na wapi unapatikana kwa dar au dodoma?
Vilevile mawasiliano kama yapo...NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI