Suip
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,314
- 760
Wana JF naomba kwa anayefahamu namna ya kubadili cheti ambayo nimeiscan kwenye Computer kuwa pdf document na kupunguza size kuwa chini ya 2.016MB.
Kwani kuna mwanangu namwombea nafasi ya mafunzo katika vyuo chini NACTE na wamelekeza kuupload cheti kikiwa katika mfumo wa pdf na kisizidi 2.0MB
Naomba msaada wenu tafadhali.
Kwani kuna mwanangu namwombea nafasi ya mafunzo katika vyuo chini NACTE na wamelekeza kuupload cheti kikiwa katika mfumo wa pdf na kisizidi 2.0MB
Naomba msaada wenu tafadhali.