Kwa anaye wafahamu hawa pwc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa anaye wafahamu hawa pwc

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Allency, May 31, 2012.

 1. Allency

  Allency JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 1,387
  Likes Received: 676
  Trophy Points: 280
  Habari wana JF. Kwanza nashukuru sana wana JF wote kwani nmefanikiwa kupata kazi kupitia hapa hapa JF.
  But am about to leave my job and go somewhere else.
  Ngependa kuuliza kwa yeyote anaye wafahamu vizuri hawa PWC na wanahusika na nini? Mimi nina Degree ya IT. So can I have a chance of working with them kwa taaluma yangu? Na ni kampuni ya kuaminika ama ndo zile kampuni zetu unaanza leo kesho wanasema ukapumzike watakuita.
   
 2. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  PWC - Price Water House, previously known as Coopers & Limbrand.
  It's one of the reputable accountancy firm followed by Deloitte, Ernest & Young.

  I like their strategy of turning senior staff members to be partners hence you find several guys been there for over twenty years.

  However, I am somewhat shocked as I have learned that you recently secured job through JF!!!!! How comes, so soon you want to make another move!!!! Hallo
   
 3. Allency

  Allency JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 1,387
  Likes Received: 676
  Trophy Points: 280
  Thanks Nduka,
  The thing ni kuwa nimepata sehemu ambayo itansaidia ku achieve my Career Objectives.
  Kuhusu PWC naona kila mtu anasema kitu cha ku discourage about them. Mimi ngependa fanya nao kazi. Tatizo cjui mchakato wao upoje ili nipate omba kazi kwao
   
 4. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  graduate recruitment yao ianendelea...ila wanaangalia sana GPA, pia lazima uwe a A ya hesabu na English Olevel...kama ulipata division II ni dhambi kubwa sana kwao.
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mimi siamini kabisa kama hizo A's na GPA's ndio peke yake zinachapa kazi.

  Wapo washikaji walikuwa vichwa mashuleni lakini nashangaa career wise wapo wapo tu mjini hata siwaelewi.

  Kwanini wasitumie Aptitute test kumjaribu kila mtu ambaye anawavutia? Maana wengine huko chini tulikuwa vilaza kweli kweli!
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Hao ndiyo PWC wako tofauti sana na KPMG, nina 3.7 hata sijaitwa kwenye Amptitude test yao,
   
 7. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Leo tulikuwa tunafanya mnada wa baadhi ya vitu vyao pale mitaa ya ubungo kwa idhini ya PWC, Baada ya mnada kuisha nikawafuata baadhi ya jamaa wanafanya kazi hapo kudadisidadisi kidogo jamaa walikatisha tamaa sana wananiambia kama GPA yangu ndogo nisijusumbue kabisa kuomba kazi kwao dah! mkuu kama GPA yako ipo juu jaribu kuomba tu.
   
 8. Allency

  Allency JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 1,387
  Likes Received: 676
  Trophy Points: 280
  Nashukuru xna wana JF kwa ushauri na maoni yenu. But kuna mtu ana GPA ya 3.5 na yeye aliitwa kwenye ile Aptitude test yao. Ila mpaka sasa wamempotezea. Ina maana kama mtu akipita hiyo aptitude test yao ndo kapata ajira ama bado kuna interviews nyingine? if xo how many are they to come after aptitude test?
   
 9. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  kuna interview nyingine kama 3
   
 10. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Amptitude? Au unaisema ile online assessment?
   
 11. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  labda unambie GPA,bt huko kwngne umetudanganya,nawajua watu kibao tu wana division 2 na wanapga kazi hapo pwc.
   
 12. h

  habby Member

  #12
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hey guyz mi nimeshafanya online assessment na nikaitwa aptitute test ila kimya mpaka leo na nina div 1 o'level na A'level. Vp washaita tena baada ya aptitute test
   
 13. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  una A, language na maths?
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Papa Wemba Company.

  Price Water Coopers!
   
 15. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  sasa huo umahiri wao uko wapi kama wanaajiri kwa kuangalia gpa kubwa? watu makini wanaangalia kipaji cha utendaji na si makaratasi na ndio maana utakuta kwenye mashirika ya europe hapa tz mtu ana degree tena ya second lower class anapata kazi na mwenye phd anakosa kwa nafasi hiyo hiyo. Kama huniamini nenda kwenye ofisi za makampuni ya ulaya halafu uliza wangapi wana master au phd..
  unaweza kuwa best kwenye theory lkn practice hovyo kabisa
  Kwa mtu makini ni lazima atakuwa anaufahamu utata wa mfumo wa vyuo vya tz, vyuo kama tumaini, saut, cbe etc ni rahisi sana kupata gpa 4+, ukija udsm, sua ni nadra kukuta gpa za namna hiyo... yaani chuo kina graduates 20 wana first class halafu wote wamefail pale NBAA. Kwa mtindo huo hiyo firm itakuwa imejaa watu wa cbe, saut, st. john, tumaini
   
 16. A

  AliceL Member

  #16
  Jun 4, 2012
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hwaangalii A za Hesabu wala kama anavyosema mdau, wanaangalia GPA na angalau uwe ulifaulu four na six two unapita. Wnalipa kawaida ila si mbaya ila utatoka umeiva sana, training nyingi na kazi ni nyingi pia; na popote ukiomba kazi baada ya hapo utaitwa manake waajiri wengi wanajua watu waliotoka hapo wanapiga mzigo na kichwa imetulia.
  Wana interview tatu, IQ, na mbili oral. Hakuna longolongo, kichwa yako tu.
  IT kuna kitengo chao, lakin pia ukipenda kuwa auditor wanakutrain unaanza kazi na utatakiwa kufanya CPA au ACCA na watakulipia.
   
 17. A

  AliceL Member

  #17
  Jun 4, 2012
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanaangalia na chuo ulichosoma, kama umesoma chuo kikuu gezaulole huitwi, hata kama GPA ni 5.0
   
 18. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #18
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  kumbe?
   
 19. Allency

  Allency JF-Expert Member

  #19
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 1,387
  Likes Received: 676
  Trophy Points: 280
  Wao wanaangalia v2 viwili, uwe na GPA kuanzia 3.5, then uwe umefaulu kwa kiwango cha at least C kwa masomo ya English na Maths. Ila kama mdau alivyosema ni kweli kuwa kuna interview 3 zaidi after aptitude test! basi hawa jamaa ni noma. az Alicer said someone else told me kuwa wana provide training za ukweli.
   
Loading...