Kwa anaye wafahamu hawa pwc

Kwa anaye wafahamu hawa pwc

U
sasa huo umahiri wao uko wapi kama wanaajiri kwa kuangalia gpa kubwa? watu makini wanaangalia kipaji cha utendaji na si makaratasi na ndio maana utakuta kwenye mashirika ya europe hapa tz mtu ana degree tena ya second lower class anapata kazi na mwenye phd anakosa kwa nafasi hiyo hiyo. Kama huniamini nenda kwenye ofisi za makampuni ya ulaya halafu uliza wangapi wana master au phd..
unaweza kuwa best kwenye theory lkn practice hovyo kabisa
Kwa mtu makini ni lazima atakuwa anaufahamu utata wa mfumo wa vyuo vya tz, vyuo kama tumaini, saut, cbe etc ni rahisi sana kupata gpa 4+, ukija udsm, sua ni nadra kukuta gpa za namna hiyo... yaani chuo kina graduates 20 wana first class halafu wote wamefail pale NBAA. Kwa mtindo huo hiyo firm itakuwa imejaa watu wa cbe, saut, st. john, tumaini
Umeongea point kali sana ,kuna vyuo watu wanaenda kuchukua degree na kuna vyuo watu wanatafuta degree .
 
Back
Top Bottom