jokotinda_Jr
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 882
- 1,521
Bado una muda wa kuchagua kama mimi vile nina imani yangu binafsi ambayo ni binafsiKatika hali ya kawaida nimekuwa nikiwaza sana pia naona mambo mengi sana kila nikienda katika nyumba ya ibada kuna mambo mengi sana yanayo endelea ambayo hayapo ndani ya biblia au katika maqndiko tuna tumia mda mwingi kufqnya mambo ambayo kwa upande wangu naona hayana afya katika ulimwengu wa roho
Tuna tumia mda mdogo sana katika kufanya ibada nimejikuta pengine ningepewa uhuru wa kuchagua pengine nisinge chagua UKRISTO ...au ningepewa nafasi ningebqdilishq mambo mengi sana katika kanisa pengine ni ngeonekqna sifai
Wewe unaweza ukqenda kanisani kwa lengo la kuabudu kumbe mwenzako anakuchukulia kama fursa flani akutengenezee mazingira mwisho wasiku utambiwa toa pesa ukija kwenye mahubiri ndo usiseme nikutoa kutoa kutoa sina nia mbaya na kutoa lakini unaona kabisa unatoa kwa kutengenezewa mazingira
Najua kina wafia dini humu ndani watasemq nimekengeuka au kukufuru ....hapana kuna mambo ukiona hayapp sawa lazma useme
Narudia tena hata ningepewa options ya kubadili jina nahisi ningesha badili kitambo UKRISTO ni dini nzuri sema kuna watu wamesha fanya kama sehemu yakujipatia fesha naona na nduguzetu WAISLAMU nao wameanza kubadilika kwenye baadhi ya mambo eti wanasema wana mwamini HUSSEIN cjui ndo nani tena
Upo vzri umesha soma yote kwa mda mfupi iviiiBadi una muda wa kuchagua kama mimi vile nina imani yangu binafsi ambayo ni binafsi
Nimesoma mwanzo kati na mwisho nikaona malalamiko yale yale tu. Mimi ni expert wa categorization hivyo uwa nachek mwanzo kati na mwishoUpo vzri umesha soma yote kwa mda mfupi iviii
Twende nikupeleke kwa Kissendi Nyanda NTALIMA MPANDAGOYA akuondoe kwenye ukondoo, ukaabudu mizimu ya watu wa kaleKatika hali ya kawaida nimekuwa nikiwaza sana pia naona mambo mengi sana kila nikienda katika nyumba ya ibada kuna mambo mengi sana yanayo endelea ambayo hayapo ndani ya biblia au katika maqndiko tuna tumia mda mwingi kufqnya mambo ambayo kwa upande wangu naona hayana afya katika ulimwengu wa roho
Tuna tumia mda mdogo sana katika kufanya ibada nimejikuta pengine ningepewa uhuru wa kuchagua pengine nisinge chagua UKRISTO ...au ningepewa nafasi ningebqdilishq mambo mengi sana katika kanisa pengine ni ngeonekqna sifai
Wewe unaweza ukqenda kanisani kwa lengo la kuabudu kumbe mwenzako anakuchukulia kama fursa flani akutengenezee mazingira mwisho wasiku utambiwa toa pesa ukija kwenye mahubiri ndo usiseme nikutoa kutoa kutoa sina nia mbaya na kutoa lakini unaona kabisa unatoa kwa kutengenezewa mazingira
Najua kina wafia dini humu ndani watasemq nimekengeuka au kukufuru ....hapana kuna mambo ukiona hayapp sawa lazma useme
Narudia tena hata ningepewa options ya kubadili jina nahisi ningesha badili kitambo UKRISTO ni dini nzuri sema kuna watu wamesha fanya kama sehemu yakujipatia fesha naona na nduguzetu WAISLAMU nao wameanza kubadilika kwenye baadhi ya mambo eti wanasema wana mwamini HUSSEIN cjui ndo nani tena
Mimi nilidhani we mlokole mkuu 🤣Twende nikupeleke kwa Kissendi Nyanda NTALIMA MPANDAGOYA akuondoe kwenye ukondoo, ukaabudu mizimu ya watu wa kale
Nafkiri ndo asili ya mwafrica mkuuTwende nikupeleke kwa Kissendi Nyanda NTALIMA MPANDAGOYA akuondoe kwenye ukondoo, ukaabudu mizimu ya watu wa kale
Nimeona 'q' badala ya 'a' nikajua wewe ni pimbi mmoja tu bado unanuja maziwa ya mamayo... JIFUNZE MZEMBE WEWE.
Katika kusoma kote hiyo ndo point uliyo pata? ...basi upo vzriNimeona 'q' badala ya 'a' nikajua wewe ni pimbi mmoja tu bado unanuja maziwa ya mamayo... JIFUNZE MZEMBE WEWE.
Tatizo so kutoa mzee nyumba ya ibada iwe sehenu ya ibada siyo mradi wa kutafta pesa mkuuTafuta pesa mleta mada hayo mambo ya kutoa michango kanisani ni kawaida kwani ww mkeo humpi pesa ya matumizi..?
Waafrika TujitambueNafkiri ndo asili ya mwafrica mkuu
Mlokole mwenye kufahamu asili yangu , kazi ya dini za Kizungu na Kiarabu ni kuharibu kabisa utamaduni wa mtu mweusi ili tuendelee kuwa watumwa wa utamaduni wao milele na mileleMimi nilidhani we mlokole mkuu 🤣