Eliud Bunju
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 375
- 707
Ninataka kununua friji jeh Kwa bei ya tsh 250000 ntaipata kariakoo.?
Sawa ndio naelekea kariakoo kutafutaHata ya 100,000 yapo. Suala ni aina na ukubwa.
Sawa Sawa kkLabda vile vi friji vidogo, ila zile kubwa labda used
Ulipata ndugu kama ulipata Haina gan na kwa bei gan maana nahitajiSawa Sawa kk