Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,201
- 128,050
Free Chura
Tatizo ni wimbo au video?wanaotetea wimbo huu ni wale wale aina ya kdato cha division V
Wewe kwa akili zako huoni ule ni uvunjifu wa maadili?
Hata hivyo hatufanani,wanaoutetea huo wimbo wanajulikana ni watu wa aina gani.
Ila binafsi naunga mkono,upigwe marufuku.
kweli mkuu wamefungia bunge wamefungia na vyura wetu tusiwaone. salaaleNinajiuliza suala la kupinga huu wimbo wa chura ni kuzuia uhuru wa wananchi kufanya wanachotaka au ni kuvuka mipaka ya uhuru uliopo kikatiba. Tukiwaacha hawa na wafanyao, tutaathirika vipi? Hiyo ndio kazi ya rasilimali chache tulizonazo? Kwa msio ufaham wimbo huo fikeni YouTube unaitwa chura. Nchi hii wananchi wake wanapenda sifa
safi sana nifah I can see ur integrity clearly in here.Siku hizi kazi za sanaa ndio zimekua "masomo ya maisha" yanayoonekana katika movies na yanayoimbwa ktk music au yanayofanywa na wasanii yana impact kubwa sana ktk jamii kwa sasa.Tupinge issue zinazoharibu jamii.Wewe kwa akili zako huoni ule ni uvunjifu wa maadili?
Hata hivyo hatufanani,wanaoutetea huo wimbo wanajulikana ni watu wa aina gani.
Ila binafsi naunga mkono,upigwe marufuku.
Well said achana na wanywa viroba wanaounga mkonoNaunga mkono kabisa huu wimbo kupigwa marufuku kuonyeshwa kwenye TV huko Youtube na kwingineko wanaoupenda wakauangalie huko...Nyimbo gani ile sasa umekaa na watoto wako wakike then lintokea linyimbo kama hilo kwenye TV aibu kabisa....
mkuu ukiupata uweke kwenye bandiko, sijawahi uona, nimekosa uhondo aisee!Kama wakina mama wao wenyewe wameamua bila kulazimishwa kutuonyesha jinsi walivyo na makalio mazuri na jinsi wanavyoyachezesha vizuri kwa lengo la kutuburudisha sisi wanaume kuna ubaya gani?, waendelee kutupa uhondo huo na mimi nitanunua huo mkanda
Labda unirushie kwa Bluetooth but kwa WhatsApp mimi simo!! (TCRA)Njoo nikutumie
Hiyo video ya wimbo huo ni hovyo kabisa na haifai kuangaliwa na watu wasitaarabu, ni ya kipuuzi na haitakiwi, imejaa maudhui yanayodhalilisha utu na kutangaza umalaya