Kuzorota uchumi: Stone Block wafungasha virago!

Kuzorota uchumi: Stone Block wafungasha virago!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
17,547
Reaction score
28,493
20170919_175617.jpg

20170919_175620.jpg

Stone Block Hardware ya Waturuki.
Sasa hivi ni mahame.

Dalili si nzuri!
Wawekezaji wanaendelea kufungasha virago na kutimkia kusikojulikana.

Duka maarufu la vifaa vya ujenzi kule Kawe Chini wanaendelea kufungasha.

Sijui kwa nini?
 
Tanzania: Not a place to invest in Africa

By. Juergen T Steinmetz

September 18, 2017

C) most, if not all, sectors are reporting a massive reduction in turnover and profits. Dealers in building supplies (a good indicator of growth) are reporting business as halved!

Unataka kukimbia na hauna breki???????????????????????????????????????????????
 
Ni kweli, hili ndilo lilikuwa the biggest shop la Vifaa vya ujenzi along Old Bagamoyo Rd.

Pale pembeni, ameweka kiwanda cha kureproduce hizo stone blocks hapa hapa nchini locally kwa kutumia raw materials za Tanzania. Pia anatengeneza furniture locally kwa mbao zetu lakini finishing kama imported furniture.Hii si ndio hii Tanzania ya viwanda tunayohubiri?.

Count jobloss, revenues loss, aftersale services loss, tenancy loss, quality products loss, etc, etc, Magufuli anaua!.
P
 
Kama walikuwa wamezoea kufanya biashara kiujanja ujanja na kukwepa Kodi hayo ndio matokeo na madhara yake mkuu. Suala la msingi pia inabidi uelewe ya kwamba sekta ya ujenzi haiko vizuri kwa sasa. Sababu mafisadi yamesimamisha ujenzi na majizi yako chini ya ulinzi.
Nimepata habari "wamepigwa" vibaya tokea NEMC hadi kodi za ajabu ajabu.
Nyie endeleeni na nyimbo zisizo na mashiko, wenye kwao wanasepa!
 
Ni kweli, hili ndilo lilikuwa the biggest shop la Vifaa vya ujenzi along Old Bagamoyo Rd. Count jobloss, revenues loss, aftersale services loss, tenancy loss, quality products loss, etc, etc, Magufuli anaua!.
P

Si tukisema mnasema tunamuonea wivu ndugu yenu na mwishoe mnatupiga risasi kama mnaua Nyati
 
Jakaya aliwahi kusema Bungeni ukitaka kula lazima uliwe watu tukajua ni utani na Masihara yake ya Kipwani pwani
JPM anataka kula bila kuliwa, tujipange kwa Zahmatu Minal balaa linalokuja

Kina Jakaya na Mkapa walifanya kazi kubwa sana ya kutangaza Taifa letu nje ya Nchi na kuondoa dhana mbaya ya Nyerere ya kupora pora Mali za Wawekezaji lakin Huyu Bwana Mkubwa ndani ya Miaka miwili kanajisi kazi yote nzuri ya Watangulizi wake anataka kulirudisha Taifa kule kule kwny Azimio la Arusha
 
Ni kweli, hili ndilo lilikuwa the biggest shop la Vifaa vya ujenzi along Old Bagamoyo Rd. Count jobloss, revenues loss, aftersale services loss, tenancy loss, quality products loss, etc, etc, Magufuli anaua!.
P
Hao lazima walikuwa ni wapigadili, awamu hii ya tano wapigadili hawana nafasi. Mapato yanazidi kuongezeka miezi miwili tumelipa trilioni nne
 
Nimepata habari "wamepigwa" vibaya tokea NEMC hadi kodi za ajabu ajabu.
Nyie endeleeni na nyimbo zisizo na mashiko, wenye kwao wanasepa!
"Nyie" kina nani mkuu? Hapo ndipo unapoharibu maudhui ya huu mjadala. Suala la NEMC unalijua vyema!? Au unaongelea kiushabiki boss? Walikiuka taratibu nyingi za mazingira na kuchafua maji kwa kutiririsha Maji machafu na kuziba mkondo pale kwenye ofisi zao. Fuatilia kwa undani hili suala utapata ukweli wake.
Pili, suala la Kodi pia ungelifanyia utafiti ili Ujue ukweli walivyokuwa wanakwepa na kudanganya katika Kodi and returns. Sikuelewi unaposema "Kodi za ajabu ajabu" unamaanisha nini!?
Wahuni na wahujumu Uchumi ndio wanasepa. Inasikitisha kwa kuwa katika harakati za ukwepaji kulipa Kodi Stahiki kuna Watanzania waliwasaidia kufanikisha hilo.
 
serikali sera zake sio makini, watendaji wa taasisi zake wanafunga tu biashara za watu hawajui walipoanza mpaka kufika hapo ,hawatoi elimu ya kutosha
ofisi moja vibali zaidi ya kumi TRA,NEMC,OSHA,LESENI,SERVICES LEVY,TIC,FIRE,LOCAL GOVT,BRELA,COSOTA,BARCODES,TFDA,TBS,CRB nk.......
 
Jakaya aliwahi kusema Bungeni ukitaka kula lazima uliwe watu tukajua ni utani na Masihara yake ya Kipwani pwani
JPM anataka kula bila kuliwa, tujipange kwa Zahmatu Minal balaa linalokuja

Kina Jakaya na Mkapa walifanya kazi kubwa sana ya kutangaza Taifa letu nje ya Nchi na kuondoa dhana mbaya ya Nyerere ya kupora pora Mali za Wawekezaji lakin Huyu Bwana Mkubwa ndani ya Miaka miwili kanajisi kazi yote nzuri ya Watangulizi wake anataka kulirudisha Taifa kule kule kwny Azimio la Arusha
Haya yote yanatokea kwasababu katiba inamruhusu,kama katiba ya Tanzania haitabadilishwa itakuwa kila inaekuja anafanya anavyotaka...,Katiba mpya ni muhimu sana kwa nchi yetu,katiba ndio uti wa mgongo wa nchi....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom