The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,107
- 21,965
Sisi Tutaendelea na maandamanoMpaka sasa nahisi dishi langu limeyumba na Chanel hazisomi kabisaa wanawane..
Tangu October 29 na sasa D9 Hadi Leo nimekua nikikesha na kubugia pombe nakunyandua singo mazasi . kwa kifupi nimekua zezeta kama Lucas Mwashambwa .Yaan kila nikiwaza miaka mingine mitano ijayo chini ya mfalme juha na Genge lake , nachoka Mimi mwehu!
View attachment 3514353