Kuzimiwa simu...

Kuzimiwa simu...

Nilishasema, Nakupigia simu hupokei, nakutext hujibu mara Tatu. Nafuta namba yako na usije ukategemea nitakitafuta Maisha yako yote na hata tukikutana Njiani usinisalimie.
 
Mkuu umefanya mlinganyo wa vitu viwili tafauti kabisa, mwili na kujipaka Kimba,Na simu ya mkononi na maamuzi ya kuiweka hewani na kupokea ama kutopokea si vitu unavyoweza kuvilinganisha.Ni sawa na kufanya comparison kati ya Gari na ndizi mbivu.ni bora hata ungelinisha simu ya mkononi na chupi,mana vyote ni vitu personal na mmiliki wa chupi anayohaki ya kuivaa ama kutoivaa,kumvulia mtu ama kutomvulia etc.

Na pia nlichofanya ni kufahamisha juu ya haki za mwenye simu yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonaje ukigusia wajibu pia? ,
 
Nilishasema, Nakupigia simu hupokei, nakutext hujibu mara Tatu. Nafuta namba yako na usije ukategemea nitakitafuta Maisha yako yote na hata tukikutana Njiani usinisalimie.
Inategemea na unayemtafuta. Kama unafuatilia pesa ya tenda, utamtafuta tu mhusika.
 
Mkuu umefanya mlinganyo wa vitu viwili tafauti kabisa, mwili na kujipaka Kimba,Na simu ya mkononi na maamuzi ya kuiweka hewani na kupokea ama kutopokea si vitu unavyoweza kuvilinganisha.Ni sawa na kufanya comparison kati ya Gari na ndizi mbivu.ni bora hata ungelinisha simu ya mkononi na chupi,mana vyote ni vitu personal na mmiliki wa chupi anayohaki ya kuivaa ama kutoivaa,kumvulia mtu ama kutomvulia etc.

Na pia nlichofanya ni kufahamisha juu ya haki za mwenye simu yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Terue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom