Kuzimiwa simu...

Kuzimiwa simu...

Punguza jazba basii mzee baba...hao cheap labours ndivyo walivyo,. mwanamke makini hamsumbui mtu anakupa makavu live,.anaachana na ww kiroho safi,.hakuna haja yakupotezeana muda.
Sio nina jazba...ila kuna wakati mpaka naishia kucheka tu...mtu sio mpenzi wako...unashangaa tu ghafla hapokei simu hajibu msgz kama mwanzo...unajiuliza huyu si angesema tu sitaki unitafute...sasa chek anavyoishi kwa shida akijificha ficha...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna njia nzuri zaidi ya kuwa muwazi mkuu, at all odds kuzimiana simu ni weakest point kabisa. Kuna watu wanakera kweli kweli ila naamini ukisimamia unachokiamini hutotikiswa kamwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hii ipo hata kwa baadhi ya wanaume...my friend ni bora useme siwezi haiwezekani au sitaki kuliko kutopokea simu au kuzima unapohitajika...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakera sana mkuu mfano we ni mfanyabiashara ( haya maduka yetu ya mkononi) mtu anakuagiza njoo muda fulani saa kumi niletee bidhaa ukishuka mwenge nipigie, mwenyewe unajibeba mpaka mwenge unafika piga piga na wewe mtu hapokei unakaa saa nzima unaamua kurudi zako mbagala baadae anakutafuta eti samahani simu ilikuwa kwenye mkoba sikusikia inaita unatamani umporomoshee mitusi

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi akinitafuta sipokei tena...sababu za kipumbavu kabisa...INA MAANA SIMU UNAWEKA KWENYE MKOBA AU CHAJI INA MAANA HUJUI KUWA ULIWEKA MIADI NA MTU...WEWE UNAKALISHA MATAKO YAKO TU HAPO...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza tuweke rekodi sawa,kama mtu alinunua simu kwa pesa yake,akaenda kusajili laini na akaiwekea vocha basi anayo haki ya kuizima na kuiwasha anapojiskia,na anahaki ya kupokea ama kutopokea simu yoyote anayopigiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie mtu sitaki unitafute...akikusumbua baada ya hapo huyo kataka mwenywwe....HUO NI UTOTO...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi tu mwingine alikuwa anatest zali akiona namna gani vipi anakuzimia simu kabisa! Kwenye sehemu ya biashara tunaweza kuichukulia kama easy go ila inaboa kishenzi aisee.... Mimi bora mtu anitukane kulikoni kuzimiwa simu au kutopokea smu yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
MIMI NIAMBIE TU UKWELI...OTHERWISE NIKIKUKAMATA...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umefanya mlinganyo wa vitu viwili tafauti kabisa, mwili na kujipaka Kimba,Na simu ya mkononi na maamuzi ya kuiweka hewani na kupokea ama kutopokea si vitu unavyoweza kuvilinganisha.Ni sawa na kufanya comparison kati ya Gari na ndizi mbivu.ni bora hata ungelinisha simu ya mkononi na chupi,mana vyote ni vitu personal na mmiliki wa chupi anayohaki ya kuivaa ama kutoivaa,kumvulia mtu ama kutomvulia etc.

Na pia nlichofanya ni kufahamisha juu ya haki za mwenye simu yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usingetoa namba yako kwa watu mpuuzi mkubwa wewe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vinaendana maana hata mwili wako ni personal. Mnapokuwa mmekubaliana watu wawili jambo hapo si suala la simu ni ya nani ila unawajibika kuiweka hewani maana mmekubaliana kuwa mtapigiana, hapo chenye nguvu ni makubaliano wala sio simu tena. Kama hauna makubaliano yoyote simu yako ni yako mwenyewe waweza hata kuzima mwaka mzima na hakuna mtu wa kukukoromea labda sanasana utaulizwa na wale wanaokujali. Mfano wangu niliotoa nilikuwa namaanisha suala linaweza kuwa ni la kwako binafsi lakini likasababisha usumbufu mkubwa kwa watu wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanaongeaga pumba namna hii mpka unaweza piga chafya...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom