kipato chako ni jinsi unavyofikiria..ukifikiria kwa ngazi ya juu zaidi ya hpo ulipo (strategic planning) na kipato chako kitaongezeka tu....mfano, kuku huangua vifaranga kulingana mayai umpayo..ukimpa yai moja kifaranga kimoja,2,3,5,7,8,9,12,16 the same vifaranga 16.usitegemee kujaz banda la kuku wakti unampa mayai 2..kwa hiyo ukiwaza kutegemea kazi uliyonayo ikupe mshahara wa kuweka mezani na kushindana na wa mkeo you won't marry..waza mbali,ondoa utegemezi n.k.Mungu ni mwaaminifu ndo maana ana mpango wa kukupa mke mwenye kipato kizuri ili uwaze mbali (uwekeze) maadam mtakuwa mwili mmoja.