tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,318
- Thread starter
- #201
Umeeleweka.Zaidi ya miezj miwili si Lisu wala dereva wake aliehojiwa wala kuandikisha statement ya tukio, lakini chama chake kinathubutu kwenda bungeni kudai polisi haifanyi uchunguzi. Hivi imeshawahi kutokea shahidi wa tukio la uhalifu akahojiwa nje ya nchi. Hata huko Marekani mtu akikimbilia Mexico FBI wanabwaga manyanga. Tatizo kuna watu wanaongoza nyumbu wameanza kujisahau wanafikiri nchi nzima ni nyumbu watupu.