SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,117
- 8,096
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni,
Pichani ni mmoja wa wafanyakazi wa kuzibua mitaro a.k.a sewage nchini india, kazi ambayo inasemekana ni hatarishi zaidi kuliko kazi zote duniani akiwa kazini.
Kama anavyoonekana pichani, kijana huyo aliyeibuka kutoka kwenye moja ya chemba ya vinyesi vya binadamu mjini Ghaziabad, Uttar Pradesh, akiwa hana kitendea kazi chochote zaidi ya kamba anayofungwa kiunoni.
Valmiki' ni jamii ya watu fukara kabisa nchini India ambao wanasifika nchini humo kwa kufanya kazi za kuzibua sewage au vyoo katika miji mikubwa nchini india.