Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,971
- 38,225
Asante sana kwa kunikumbusha hili, mara nyingi sana tunawaungisha wanawake kwenye biashara kuliko wanaume wenzetu.bidhaa inauzwa na mwanamke na mwanaume nitaenda kununua kwa mwanaume