Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuzaa Watoto Mapacha kuna Raha zake jamani....

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Aug 5, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,744
  Likes Received: 3,094
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,159
  Likes Received: 1,153
  Trophy Points: 280
  MziziMkavu ndo shem wetu nini ... hongera brother
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 24,481
  Likes Received: 3,433
  Trophy Points: 280
  Hongera.
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,744
  Likes Received: 3,094
  Trophy Points: 280
  Mkuu Sio shemeji yako mambo ya Youtube hayo Laiti ningelipata mke kama huyu mwenye kuzaa Watoto Mapacha ndio ingelikuwa ni furaha yangu kuu ingawa mimi mwenyewe ni Mapacha Mkuu njiwa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Aug 5, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 17,984
  Likes Received: 2,095
  Trophy Points: 280
  Naomba Mungu anipe watatu :)
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 51,597
  Likes Received: 11,988
  Trophy Points: 280
  Ikiwa Quadruplets itakuwa poa sana maana ndio umeshafunga kazi :)
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  Aug 5, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 17,984
  Likes Received: 2,095
  Trophy Points: 280
  Umenisoma akili ndani nje ...
  Ngoja nianze kujaribu :)
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,744
  Likes Received: 3,094
  Trophy Points: 280
  Nikimpata mke mwenye uzazi namuomba Mwenyeezi Mungu anipe watoto 4 wa kike 2 na wakiume 2 Wote wawe Mapacha afrodenzi
   
 9. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,159
  Likes Received: 1,153
  Trophy Points: 280
  mkuu kuna tetesi kwamba inawezekana kimahesabu na mkao wakati wa tendo
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 51,597
  Likes Received: 11,988
  Trophy Points: 280
  :horn::horn::horn::horn:
   
 11. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #11
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,744
  Likes Received: 3,094
  Trophy Points: 280
  may be................ njiwa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #12
  Aug 5, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 17,984
  Likes Received: 2,095
  Trophy Points: 280
  Hiyo itakuwa rahaa vipi.
  Dahhh Bora wazazi wawe na kaazi inayowaingizia mshahara mzuri. Kuwa na wanne.
   
 13. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,894
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Afrika kuna ndugu na jamaa wa kusaidia kulea, lakini maisha ya ughaibuni kama mfuko hauruhusu ni karaha sana kulea maana yake unababa uzito wote wa kulea peke yako, serikali inachokusaidia ni kulisha na mafao mengine lakini si kutoa yaya wa kulea. Kazi kweli kweli.

  Yote ni furaha kwani ni zawadi nadra sana ambayo Mungu huwajalia wachache sana.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #14
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,319
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mie wallah namuomba mungu anijaalie hata wanne,nawapenda kupita kiyasi .....
   
 15. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #15
  Aug 5, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,848
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  nikipata 2 sets of these, nafunga na duka kabisa
   
Loading...