Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 9,809
- 14,042
Kuzaa nje ya ndoa ni jau, hutawapa watoto treatment iliyo sawa na mwisho wa siku utalaumiwa tuu.
Mtoto sio nguo, ukizaa nje hata uhudumie vipi mtoto atakuja kujua hakuwa kipaumbele kwako. Hatakuja kukupa treatment ya usawa pia huko badae.
Mtoto wa nje, lazima kuna kunung'unika flani, hata wenzie watamtenga tuu kiaina hata ufanyaje.
Kuna trauma kwa mtoto na mama yake. 😊