Kuzaa na mwanamke nje ya ndoa

Kuzaa na mwanamke nje ya ndoa

kinshwi

Member
Joined
Aug 22, 2016
Posts
48
Reaction score
173
Mimi ni kijana , 25 yrs old . Unmarried
Nimekuwa nikisikia mara kadhaa kwa mabro na kwenye forums za kijamii kuwa kati ya makosa makubwa unaweza kuyafanya kama mwanaume ni kuzaa na mwanamke ambaye huna mpango wa kumuoa, yaani kufanya coparenting.
Iwapo nina kipato kinachoniwezesha kutoa mahitaji yoote kwa mtoto bila wasiwasi na mama wa mtoto ana kipato kikubwa cha kujitosheleza, what could be worse ?
 
Wewe ni mhaya. Mhaya haoi Nyailya! KAYAMBA!
And why should you marry Makayamba?
 
Mimi ni kijana , 25 yrs old . Unmarried
Nimekuwa nikisikia mara kadhaa kwa mabro na kwenye forums za kijamii kuwa kati ya makosa makubwa unaweza kuyafanya kama mwanaume ni kuzaa na mwanamke ambaye huna mpango wa kumuoa, yaani kufanya coparenting.
Iwapo nina kipato kinachoniwezesha kutoa mahitaji yoote kwa mtoto bila wasiwasi na mama wa mtoto ana kipato kikubwa cha kujitosheleza, what could be worse ?
Wewe zalisha, acha kujifunza kwa ma bro waliofeli kwa sababu huwezi kuijua kesho yako.
 
Unajua kuzaa naye Labda iwe bahati mbaya tu we ulikuwa unapooza ikatokea mistake mimba hiyo

Ila kama unadhamiria kabisa Kwamba umpe mimba wakati huna malengo naye ni sawa na kumuharibia maisha

Maana hata ukimchukua mtoto wako bado atabakia na chapa ya single mother na soko lake litakuwa gumu zaidi
 
Soko gumu kwenye kufanyann?
 
Kwa hio unasema nini unamshauri nini avae mpira?
 
Kuongeza ma single mother tu ili mtuseme vizuri 😄😄😄

Iko hivi

Kama kijana mwenye vision epuka sana sana kuzaa zaa ovyo athari zake unaweza usizione Leo ila utaziona 10-20 years letter
Pale ushazaa na wanawake watatu wanne
Unahudumia huku na kule na wote wanakunyonya energy
Na unataka kuwa baba Bora kwa wote
Na maisha yamekuchapa vibaya mno
Unaonekana baba asiyejali watoto
Yale malalamiko yao yanazidi kukula energy yako
Unaanza kuwa disappointed
Unapata mke nae anazaa watoto mapacha chap chap ushakuwa na watoto watano
Kipato bado mtihani unalazimika kuhudumia wa karibu yako

Hapo mke umemwambia umezaa na mwanamke mmoja tu

😄😄😄
 
Mimi ni kijana , 25 yrs old . Unmarried
Nimekuwa nikisikia mara kadhaa kwa mabro na kwenye forums za kijamii kuwa kati ya makosa makubwa unaweza kuyafanya kama mwanaume ni kuzaa na mwanamke ambaye huna mpango wa kumuoa, yaani kufanya coparenting.
Iwapo nina kipato kinachoniwezesha kutoa mahitaji yoote kwa mtoto bila wasiwasi na mama wa mtoto ana kipato kikubwa cha kujitosheleza, what could be worse ?
Mkuu usimpe mimba mwanamke usiepanga kumuoa period. Unless azingue mwanamke ndio mtengane. Sio nzuri mtoto kuwa na malezi ya mzazi mmoja na sio nzuri mzazi kulelewa kwenye mazingira hayo hasa kunapokuwa na uwezekano wa kukwepa hicho kitu. Kuna athari nyingi za kumpa mimba mtu na kumtupa
 
Back
Top Bottom