Kuzaa na miaka 36 lazima operesheni?

Kuzaa na miaka 36 lazima operesheni?

Naombeni kuuliza mwanamke anaeanza kuzaa kwa mara ya Kwanza kama Ana miaka 36 kwenda juu anaweza kuzaa kwa kupush?
Na ikiwa Ni mapacha je inawezekana kupush au lazima operesheni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Bado malinda ypo anaweza kupush hata akiwa na 40+. Lakn wakati wa kulea mimba awe anakula chakula cha kutosha hili mwili uwe na Nguvu. Pia Mume wake awe anatanua Njia/ Kumgegeda hata mara 4 kwa week
 
Back
Top Bottom