Kuzaa na miaka 36 lazima operesheni?

Kuzaa na miaka 36 lazima operesheni?

Naombeni kuuliza mwanamke anaeanza kuzaa kwa mara ya Kwanza kama Ana miaka 36 kwenda juu anaweza kuzaa kwa kupush?
Na ikiwa Ni mapacha je inawezekana kupush au lazima operesheni?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ningepost nataka kugegedwa mngeshanijibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekosea jukwaa, ungepost JF Doctor. Anyway huwa nasikia kunakuwa na complications. Wanawake msichelewe kuzaa, mna biological clock. Sisi wenzenu ni anytime tunafyatua si unamcheki Profesa na Le Billionare...
 
Naombeni kuuliza mwanamke anaeanza kuzaa kwa mara ya Kwanza kama Ana miaka 36 kwenda juu anaweza kuzaa kwa kupush?
Na ikiwa Ni mapacha je inawezekana kupush au lazima operesheni?

Sent using Jamii Forums mobile app
kujifungua kwa upasuaji inatokana na complications za uzazi utazokutana nazo kipindi cha ujauzito,na mostly inatokana na ushauri wa daktari,....hospitali za serikali mjamzito kufanyiwa upasuaji ni alternative ya mwisho kabisa kama kwa njia ya ku push imeshindikana kabisa.... though according to research Upasuaji ndio njia salama zaidi ya kujifungua maana kuna baadhi ya risk mnaweza kuzidhibiti kabla au baada,....nimewahi shuhudia binamu yangu amepoteza maisha kwa sababu ya kutofanyiwa upasuaji hako ka hospitali kalilazimisha a push kawaida,mwishoni aka bleed to much mwisho akapoteza maisha,lakini isingetokea kama angefanya upasuaji....for your question,mtu wa miaka 36 kujifungua kwa njia ya kawaida is possible bila tatizo lolote!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekosea jukwaa, ungepost JF Doctor. Anyway huwa nasikia kunakuwa na complications. Wanawake msichelewe kuzaa, mna biological clock. Sisi wenzenu ni anytime tunafyatua si unamcheki Profesa na Le Billionare...
Nataka nijilipue bna ila naogopa operesheni sana.sijui nifanyeje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa na umri mkubwa sio absolute indication ya oparetion..
Kwahio anazaa vizuri tu kwa kupush.
Lakini baadhi ya madoctor huwa wanashauri operation kwa sababu mara nyingi watoto wa uzeeni hao unakuta wamepatikana kwa tabu sana kwahio hawataki kurisk kitu kwa kuingia masaa 10 labor kupush

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom