Kuzaa na miaka 36 lazima operesheni?

Kuzaa na miaka 36 lazima operesheni?

Ningepost nataka kugegedwa mngeshanijibu

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe vipi tena?
Unalazimisha watu wakujibu hata kama hawana majibu? Wakikujibu vibaya unakasirika, si boara tu wanyamaze ili ujibiwe na wataalamu ili nao wajifunze?

Nakushauri uende kwa wataalamu wa hayo mambo (Madaktari bingwa) wa hayo mambo watakushauri vizuri.
Majibu ya huku yaweza yasiwe sawa sana.
 
Cha muhimu ni kuamua kubeba mimba na kuamua kwenda kliniki kwa ukaribu zaidi ili waweze kufuatilia vema maendeleo ya mtoto na mama yake
 
Naombeni kuuliza mwanamke anaeanza kuzaa kwa mara ya Kwanza kama Ana miaka 36 kwenda juu anaweza kuzaa kwa kupush?
Na ikiwa Ni mapacha je inawezekana kupush au lazima operesheni?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes anaweza kuzaa bila tatizo lolote.Cha muhimu asiwe na mambo mengine ya kumuweka kwenye risk ya obsttucted labour.Mfano short sture less than150cm.

Pia inategemea na ukubwa na mtoto aliembeba tumboni 4kg and above ni risk.

Lakini kwa kukusaidia zaidi,kupata mtoto kwa umri huo kwa mwanamke kuna muweka ktk risk ya kuzaa mtoto mwenye downsyndrome.Ktk umri huo kuna kuwa na risk ya kupata watoto wenye complications.

Wasichana jipangeni kimaisha na kuzaa ktk umri wa kati kuzuia hayo.

Ni hayo tu kwa leo.

Cc Mzigua.

Acha kututishia bna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani hapa ma dr na manesi wajibu
 
Kwanza anza kuonana na dr kabla ya kurusu kudaka hayo magori

mpuuzi mpuuzi tu
 
Back
Top Bottom