baby s
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 546
- 432
Naongea nilichokifanya mana sijapata bado hao watu watano ili nimtumie alie niunga. Ila mi nilipata changu niliyotoa ilirudiUnatushawish waziwazi
Naongea nilichokifanya mana sijapata bado hao watu watano ili nimtumie alie niunga. Ila mi nilipata changu niliyotoa ilirudiUnatushawish waziwazi
DefinitelyPyramid schemes
Wanaotengeneza kadi za michango kwa ajili ya harusi uwaga wanauza nini?Unauza nini sasa hapo afadhali hata ya forever kuna vitu wanauza lakini hii bora ni vikoba
Ongeza bidii kuna watu wapo stage 3 now....cha muhimu rely on teamworkNilifanya hii nikaishia kuwaunga watu watatu tu nikapata elfu 60
Deci ni nini?HII NI DECI IMERUDI KIVINGINE
Kuchangia ni hiari na kuchangiwa ni hiari kama unahisi huna hata hela ya kuchanga hii fursa haiitaji watu wenye thinking patterns kama zakoMnafanya kazi gani ili mpate hizo hela Za kuchangiana!?
We umetapeliwa na nani ?UTAPELI HAULIPI.
Hebu tafuteni shughuli nyingine halali za kufanya kuliko kuwacheza michezo ya upatu masikini wa Tanzania
Umeibiwa nini ?Uwizi wa namna hii tuukemee kwa nguvu zote
Shetani anaishijeMmezoea pesa za bure sasa haipo. Mnaanza kuishi kama mashetani
Mathematics mkuu no wonder there are so many poor people in Africa...tuna mawazo hasi...wameleta facebook tumejana hatufaidiki directly kukuza kipato,same na whatsapp but waswahili tumejazana huko leo tunaletewa network ya kutusaidia kukuza kipato tunaponda tusiishi kwa mazoea tuishi kwa curiosity...Hizo hesabu za wapi mkuu
Wewe una upeo mdogo wa kufikiri ndio maana umewahi kupost na uelewa hunaWe we ni mwizi **** tu.hesabu gani ?
Samahani naomba unieleweshe deci ni nini naona wengi wameandika andika kuhusu deciDECI imerudi kivingine.
Haya sasa anzeni kupanda mbegu wapendwa.
Nimewaona fb tumewauliza ni beshara gani wamekimbia [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji28]Uwizi wa namna hii tuukemee kwa nguvu zote
Hahaha sijacheka tangu asubuhi asanteMmezoea pesa za bure sasa haipo. Mnaanza kuishi kama mashetani
Ilikuwa kama hichi ulichoandika na mpaka leo kesi ipo mahakamani and funy enought wachungaji ndo walitapeli watuSamahani naomba unieleweshe deci ni nini naona wengi wameandika andika kuhusu deci