Kuza kipato kwa mtaji wa Tsh 20,000/=

Kuza kipato kwa mtaji wa Tsh 20,000/=

Hii inaitwa affiliate marketing, if done right chances za kufanikiwa no most. Ila kibongo bongo bado taama na wizi wakutumia ubongo ndio unaturudisha nyuma
 
Samahani naomba unieleweshe deci ni nini naona wengi wameandika andika kuhusu deci
Kampuni fulani ya upatu iliyoanzishwa na wachungaji wa kanisa fulani.
Walikua na kauli mbiu ya kupanda mbegu alafu unakua unapata faida tu.

Mwishowe watu walidhulumiwa na mpaka kufikishana mahakamani.
 
Ni mfumo wa kuchangiana kwa hiari...unamchangia mtu mmoja 20,000 unasajiliwa kwenye website unakuwa na nafasi ya kuingiza watu watano kila mmoja atakuchangia 20,000 utakuwa na laki moja 40,000 unamchangia wa juu yako aliyepo stage 2 anakuapgrade unaingia stage two na wewe unaanza kuchangiwa na wale wanaotaka kuapgrade....
Ili tuendelee lazima yawepo mabadiliko chanya, ili mabadiliko hayo yawepo ni lazima kazi ifanywe, anaye fanya kazi ndo anaye stahili malipo. Unapo lipwa bila kufanya kazi ujue hautasababisha mabadiliko na mwishowe hakutakuwa na maendeleo!!!!!....... Tufanye kazi.....
 
Wabongo mnapenda sana kukatishana tamaa..hii ni fursa ya ukweli na ipo inafanya kazi wengi wanaojielewa wamejaribu na kwa macho yangu naona wanavyofaidika..sasa wewe umekaa na mke wako kwny kochi bila hoja bila kujiuliza mara mbili unajibu tu eti ni utapeli,sijui DECI.ukiona haikufai soma kaa kimya acha kuwashawishi wengine waige ujinga wako..
 
Back
Top Bottom