Kuweni makini… msitolewe nje ya reli!

Kuweni makini… msitolewe nje ya reli!

word, hata mimi nimelishtukia hilo, angalia kumteua mwanawe hii yote ni (kujaribu) kuwatoa relini, lkn kwa maoni yangu hii regime haina maisha, …
Indeed, time is very much ticking, watch your screen it will happen before your very eyes.
 
Hawatutoi kwenye reli.

Uzuri mipango yao tunayo kuliko wanavyofikiri.

#9D tunatoka.
 
Naona baadhi yenu mko excited na huyo Samia kutangaza baraza lake haramu la mawaziri.

Binafsi sina muda wa kuzungumzia na walio haramu wanajipa vyeo gani halafu nikasahau maelfu ya vijana na watoto waliowaua kikatili sana.

Kulenga kumjadili Samia na baraza lake haramu ni kuanza kumpa uhalali [ambao hana] kidogo kidogo.

Mimi sitoki nje ya reli. Sina kumbukumbu fupi na huwa sisamehi wauaji wa makusudi.

Itapendeza sana endapo na nyie mkiachana na mambo ya hao haramu na kuongeza nguvu katika kuwawajibisha wauaji wote, wakiongozwa na Samia.

Stay focused, please. We have a genocidal maniac masquerading as president.

We have to make her pay for all the blood she spilled.
Food banks Trump hataki,changanya ttako kubeba box uishi
Uchaguzi umepita, vurugu za wahuni zimepita,tunasonga mbele we songa ugali
 
Naona baadhi yenu mko excited na huyo Samia kutangaza baraza lake haramu la mawaziri.

Binafsi sina muda wa kuzungumzia na walio haramu wanajipa vyeo gani halafu nikasahau maelfu ya vijana na watoto waliowaua kikatili sana.

Kulenga kumjadili Samia na baraza lake haramu ni kuanza kumpa uhalali [ambao hana] kidogo kidogo.

Mimi sitoki nje ya reli. Sina kumbukumbu fupi na huwa sisamehi wauaji wa makusudi.

Itapendeza sana endapo na nyie mkiachana na mambo ya hao haramu na kuongeza nguvu katika kuwawajibisha wauaji wote, wakiongozwa na Samia.

Stay focused, please. We have a genocidal maniac masquerading as president.

We have to make her pay for all the blood she spilled.
Mimi hata sauti yake sitaki kuisikia
Kuna jamaa Mkenya nilikua namsikiliza leo asee ametema madini , POLISI NA TISS wanaamrishwa na CCM .
 
Naona baadhi yenu mko excited na huyo Samia kutangaza baraza lake haramu la mawaziri.

Binafsi sina muda wa kuzungumzia na walio haramu wanajipa vyeo gani halafu nikasahau maelfu ya vijana na watoto waliowaua kikatili sana.

Kulenga kumjadili Samia na baraza lake haramu ni kuanza kumpa uhalali [ambao hana] kidogo kidogo.

Mimi sitoki nje ya reli. Sina kumbukumbu fupi na huwa sisamehi wauaji wa makusudi.

Itapendeza sana endapo na nyie mkiachana na mambo ya hao haramu na kuongeza nguvu katika kuwawajibisha wauaji wote, wakiongozwa na Samia.

Stay focused, please. We have a genocidal maniac masquerading as president.

We have to make her pay for all the blood she spilled.

Kabisa ,mimi hata nilikuwa sijui ndiyo nimeona thread ya Joel Nnauka kuwa waziri wa vijana ila wengine hata siwajui na sitaki kujua maana wote hao ni VOID ,hakukuwa na uchaguzi.
 
Nawashangaa hata hawa ccm kuleta habari zao humu.

Wameifungia JF halafu wanaleta ujinga wao humu na kuna watu wana jadili.
 
Naunga mkono hoja , hawa wauaji hawajachaguliwa na mtu maana tarehe 29 kulikua na mauaji na sio uchaguzi .

Ni suala la muda wauaji wataelekea kunakowastahili napo ni mahakama ya kimataifa ya uhalifu wakajibu mashtaka ya mauaji ya halaiki.

Nchi haina rais kwa sasa wala the so called mawaziri, hilo ni baraza la kupiga soga na udaku hawamtumikii mtu maana waliotakiwa kuwachagua wawatumikie waliwaua.
20251117_060116.jpg
 
No!

Hatutaki unafiki na hatutaki urafiki feki.

Wameua vijana wetu kwa makusudi halafu waje kuunga mkono maandamano?

Hapana. Hatudanganyiki na tusidanganyike.
Ikatokea hivyo, plan B ni ipi?
 
Naona baadhi yenu mko excited na huyo Samia kutangaza baraza lake haramu la mawaziri.

Binafsi sina muda wa kuzungumzia na walio haramu wanajipa vyeo gani halafu nikasahau maelfu ya vijana na watoto waliowaua kikatili sana.

Kulenga kumjadili Samia na baraza lake haramu ni kuanza kumpa uhalali [ambao hana] kidogo kidogo.

Mimi sitoki nje ya reli. Sina kumbukumbu fupi na huwa sisamehi wauaji wa makusudi.

Itapendeza sana endapo na nyie mkiachana na mambo ya hao haramu na kuongeza nguvu katika kuwawajibisha wauaji wote, wakiongozwa na Samia.

Stay focused, please. We have a genocidal maniac masquerading as president.

We have to make her pay for all the blood she spilled.
𝗙𝗼𝗿𝗺𝗲𝗿 𝗠𝗮𝗹𝗮𝘄𝗶 𝗽𝗿𝗲𝘀𝗶𝗱𝗲𝗻𝘁 𝗖𝗵𝗮𝗸𝘄𝗲𝗿𝗮 𝘁𝗼 𝗺𝗲𝗱𝗶𝗮𝘁𝗲 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗽𝗼𝗹𝗶𝘁𝗶𝗰𝗮𝗹 𝘁𝘂𝗿𝗺𝗼𝗶𝗹

November 17, 2025

𝘽𝙮 𝙏𝘽𝙄 𝙍𝙚𝙥𝙤𝙧𝙩𝙚𝙧
Dodoma

The Commonwealth Secretary-General, Shirley Botchwey, has appointed former Malawi President Lazarus Chakwera, as her special envoy to Tanzania to help kickstart a national dialogue on reconciliation and development after disputed elections triggered deadly protests.

Dr Chakwera will arrive in Tanzania tomorrow for a four-day engagement to initiate an inclusive discussion with Tanzanian stakeholders as part of efforts to address issues surrounding the elections and to support the start of a national dialogue on reconciliation and development.

During his visit, he will meet with government officials, political party leaders, representatives of civil society organisations, religious and traditional leaders, and other national and international stakeholders.

The appointment follows the Secretary-General’s recent statement on Tanzania and her keen interest in engaging with the Tanzanian government.

Secretary-General Botchwey said: “Dr Lazarus Chakwera’s experience and leadership will be important in supporting constructive dialogue among all stakeholders, and I am confident it will contribute to peace and stability for the people of Tanzania grounded in the Commonwealth’s shared values of inclusion, justice, and accountable governance.”

Accepting the appointment, Dr Lazarus Chakwera said: “As an African from a neighbouring country who has followed the situation in Tanzania closely, I am deeply honoured by this invitation to serve as Special Envoy. I accept this assignment and am grateful for the Secretary-General’s confidence."

"I am fully committed to supporting inclusive dialogue, which upholds democratic principles and strengthens the rule of law.”

Dr Chakwera will be supported by the Assistant Secretary General, Prof. Luis Franceschi.

The outcome of the visit will guide the Secretary-General on her decisions and actions on the way forward under her Good Offices role.

Tanzania was plunged into unprecedented deadly protests after October 29 elections that left scores of people dead.
 
Mm hata kuchangia kwenye nyuzi za sijui nani kachagulia aisee naona kama najipiga kidole kitu ambacho siwezi mm ni mwanaume kamili. Kunavl vichaa humu wamesha sahau dah .... Max alisema wale jamaa walipo mpigia simu kumtisha ndo haya sasa wamesha sahau kabisa
 
Naona baadhi yenu mko excited na huyo Samia kutangaza baraza lake haramu la mawaziri.

Binafsi sina muda wa kuzungumzia na walio haramu wanajipa vyeo gani halafu nikasahau maelfu ya vijana na watoto waliowaua kikatili sana.

Kulenga kumjadili Samia na baraza lake haramu ni kuanza kumpa uhalali [ambao hana] kidogo kidogo.

Mimi sitoki nje ya reli. Sina kumbukumbu fupi na huwa sisamehi wauaji wa makusudi.

Itapendeza sana endapo na nyie mkiachana na mambo ya hao haramu na kuongeza nguvu katika kuwawajibisha wauaji wote, wakiongozwa na Samia.

Stay focused, please. We have a genocidal maniac masquerading as president.

We have to make her pay for all the blood she spilled.
Naunga mkono hoja. Kunawa watu ni vichwa maji ya dafu sana wako busy tangu saa9 utafikiri serikali Yao ipo halali Ili Hali ni haramu
 
Sijui watu wanatoa wapi nguvu hata ya kufatilia habari zake. Msimpe kick, msimpe attention, usikubali kupoteza muda wako na mambo yake. Unamsikilizaje muuaji? Ili iweje? Mnapompa muda wenu mnampa uhalali. Chochote anachokifanya ndani ya hili taifa kwasasa ni haramu. She is an impostor. A pretender in the state house
 
Kuna jamaa aliwahi kuniuliza hivi kwanini kupata passport bongo ni ishu lakini kenya ni rahisi au uganda..

Nilimjibu kwamba hivi kama serikali ikaamuza kuwapa passport vijana wakatoka nje unadhani huko waendapo wakapata exposure? Unadhani serikali itakuwa katika hali gani ya uwongozi katika jamii yenye vijana wenye utambuzi na maarifa waliyoyapata huko walipo
 
Back
Top Bottom