Inatisha kwani kuna kila mbinu ya kumtoa Sitta na hii ni siku mbaya ya demokrasia Tanzania, Mr Visenti anadai Sitta alikuwa na maoni yake na anachafua watu? Kinyaa gani hiki? Kwa hiyo hakuna EPA, Radar, Richmond na mikataba batili ya madini. Hayo ni maoni ya mtu aliyekuwa akiipa serikali the best advice kwenye mikataba ya madini ambayo hata Rais anakubali haina masilahi kwa Taifa, Ninawingi wa heshima kwa wananchi wa Bariadi Magharibi kwa kumchagua. Je akiwa mwanasheria mkuu aliipa serikali ushauri bora uliojari maslahi ya Taifa? Na visenti kwenye offshore account ni vya yatima gani hao? Anatufanya watanzania wote mbumbu? Hanging its too good and I hope you read this. :A S angry: