Kuweni macho na mdada huyu

Kuweni macho na mdada huyu

Simu ya mtandao wa tigo na picha fake uploaded from internet. jamaniiiiiiii
 
msogezee kapuya haone mto wake kwani hatatoka na m/benzi au mpe namber ya kapuya 0755993930 atatumiwa m-pesa au dereva wa kapuya simu0767570402 au meneja akudo simu 0764888840 hatampata kapuya amsugulikie
 
msogezee kapuya haone moto wake kwani hatatoka na m/benzi au mpe namber ya kapuya 0755993930 atatumiwa m-pesa au dereva wa kapuya simu0767570402 au meneja akudo simu 0764888840 hatampata kapuya amsugulikie
 
Duuuu ial jamani ni mzuri kwa sura mengine sijui, bujibuji umeshaingizwa choo cha kike nini
 
msogezee kapuya haone moto wake kwani hatatoka na m/benzi au mpe namber ya kapuya 0755993930 atatumiwa m-pesa au dereva wa kapuya simu0767570402 au meneja akudo simu 0764888840 hatampata kapuya amsugulikie

si bure utakuwa umetumwa wewe. hadi meneja anahusikaje. pole rama
 
Kwenye mitandao ya kuchat kama Badoo, Hi5 au Twoo kuna mdada mmoja anajiita Sabrina. Yeye anadai ni mwenyeji wa Kondoa. Huwa anatoa namba yake ya simu kwa kila anayechat naye. Lakini anaomba atumiwe nauli ili waweze kuonana. Uchunguzi unaonesha kuwa dada huyu sio tu anajiuza lakini pia anatumia chating kujipatia pesa. Ni mzuri, anavutia kweli. Hutumia namba ya simu. 0654097850. Kuweni makini!
wako


wengi tu mfana ni huyu from nokia 010.jpg amedangaya sana watu na stori za uongo
 
sio ubahili,hawa mabebs wa mtandaoni walishaniliza mahela kwa style hiyo.na ukishatuma tu pesa ndo kwaheri,anakublock.

hahaha hiyo pesa bora ungemnunulia mama yako kitenge
 
Mi nikipenda mtu nionane nae kama tupo sehemu moja tutaonana kama upo mbali basi hata kuonana kwa picha inatosha wala nikuombe hela ya nin??
Kufahamiana popote ila iwe kwa nia njema
Mfano mie kuna watu na hamu hata niwaone kwa picha tu na ni wawili tu siri yangu kwa nia njema kabisaa,sio kuombana pesa
Labda unitake lakin kama hayo hayapo pesa atakupa akijisikia kama rafiki
Ni hayo tu
 
Raha ya kutapeliwa! uwe hujui kuwa unatapeliwa kabla ya kutapeliwa, ila hapa wala hakuna raha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom