Ngoja nimtafute binti analipa,akiomba nauli namwambia namfuata mi mwenyewe.
wajinga ndio waliwao
Waooo....!! huyo kwenye avatar ndio katavi junior??
Hii mitandao ya kijamii haijatulia hata mara moja. Wazinzi kuweni makini.
Hahahaah!! haya mawasiliano hayo hapo nenda ukatapeliwe.twendeni mbele na kurudi nyuma huyu msichana mzuri acheni utani yaani akinitapeli mm naridhika kabisa!!!
Ngoja nimtafute binti analipa,akiomba nauli namwambia namfuata mi mwenyewe.
Looh!!! Kweli huyu binti kiboko, nimecheck naye mda siyo mrefu.
Looh!!! Kweli huyu binti kiboko, nimecheck naye mda siyo mrefu.
Mtoto mashaallah!
yes bby. yaani ushamsahau?
huo utapeli niliwai kuufanya na nilikupa na uhakika wa kupata si chini ya million 10 kwa mwez. wanaume wakware na wajinga walikuwa wanatuma pesa ya ndege hawajui wanachat na kidume