Kuweni macho na mdada huyu

Kuweni macho na mdada huyu

mabereng'ombe

Member
Joined
Nov 22, 2013
Posts
70
Reaction score
18
Kwenye mitandao ya kuchat kama Badoo, Hi5 au Twoo kuna mdada mmoja anajiita Sabrina. Yeye anadai ni mwenyeji wa Kondoa. Huwa anatoa namba yake ya simu kwa kila anayechat naye. Lakini anaomba atumiwe nauli ili waweze kuonana. Uchunguzi unaonesha kuwa dada huyu sio tu anajiuza lakini pia anatumia chating kujipatia pesa. Ni mzuri, anavutia kweli. Hutumia namba ya simu. 0654097850. Kuweni makini!
 
Attachments

  • YWba7cBC5nqRHKSLb7bKJJTuJvQg-0DxaVJu1UxXXuYJEm2XA13JCg_.jpeg
    YWba7cBC5nqRHKSLb7bKJJTuJvQg-0DxaVJu1UxXXuYJEm2XA13JCg_.jpeg
    17 KB · Views: 1,755
Nina wasiwasi alikua wako mmekosana unaanza kumchafua, Au Unampa Promo! ili apate uhakika wa wateja baadhi yetu kupitia hizo namba.
 
Kwenye mitandao ya kuchat kama Badoo, Hi5 au Twoo kuna mdada mmoja anajiita Sabrina. Yeye anadai ni mwenyeji wa Kondoa. Huwa anatoa namba yake ya simu kwa kila anayechat naye. Lakini anaomba atumiwe nauli ili waweze kuonana. Uchunguzi unaonesha kuwa dada huyu sio tu anajiuza lakini pia anatumia chating kujipatia pesa. Ni mzuri, anavutia kweli. Hutumia namba ya simu. 0654097850. Kuweni makini!
Hii namba ya nchi gani?
 
Mkome kabisa hivi si ujinga kuchat na mtu ambaye humjui akiwa zombi au jini
ukipenda kuchat na mtu usiyemjua ni sawa na kuongea na mtu huku humjui wakati unasikia tu siku akija na panga ukauliwa usilaumu huu ni ulimbukeni tu
kuna mengine majini yanatafuta mtu wa kutoa kafara
mengine ni machuma ulete
 
Kwenye mitandao ya kuchat kama Badoo, Hi5 au Twoo kuna mdada mmoja anajiita Sabrina. Yeye anadai ni mwenyeji wa Kondoa. Huwa anatoa namba yake ya simu kwa kila anayechat naye. Lakini anaomba atumiwe nauli ili waweze kuonana. Uchunguzi unaonesha kuwa dada huyu sio tu anajiuza lakini pia anatumia chating kujipatia pesa. Ni mzuri, anavutia kweli. Hutumia namba ya simu. 0654097850. Kuweni makini!

pole sana.Wengi wao si mabinti ni wanaume na wako manzese,tabata na mitaa ya posta. tataizo la wanaume wengi wanapotezwa na avatar za sura ya kike kumbe midume.hata Jf wamejaa sana.
 
kwani analazmisha atumiwe?? Au hyo hela anachukua kwa mazingaumbwe?
 
Nimempigia nimpe sound mvua apokei simu. Looh!!! mtoto anatumia uchumi wake alio pewa na Mungu. Heri ya yeye kuliko hao wengine wasiojua kukataa na kutoa bure bure tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom