JOYSTICK
JF-Expert Member
- May 6, 2014
- 221
- 57
Nimepata kadada fulani huku kapare.Muislam mimi mkristo.Kaslim body nini,sasa nikamakribisha geto akaja nikaanza kukachezea na vitu vingine vikaendelea.Akarudi kwao. Jioni jana tukawa tunachat na katika chatting na nini akawa anaonyesha kwa jinsi alivochizika na mimi then akanambia kitu kilichonistua kidogo akanambia kuwa ataniweka kwenye chupa.Then akaniambia anaweza nifanya nisiende kazini na hata boss wangu nikwamwita jina lake yani nimwite bosi wangu wa kiume jina la huyo binti (Sijui anataka nifukuzwe kazi)
Leo tumeonana kama lisaa hivi now nimerudi ofisini.Baada ya gemu, leo amenambia kuwa anataka anipikie chakula aniletee lakini nisihofu hataniwekea libwata,baada ya kusema hivo nkamuuliza kwani ana mpango huo.Akanambia nisiwe na wasi hana mpango huo.Nikamuuliza kuhusu swala la kuniweka kwenye chupa akasema maana yake ni kunipa mapenzi kwa kwenda mbele.
Lakini bado kichwa kinaniuma kuhusu haya mambo mawili;Je maana halisi ya kuwekwa kwenye chupa ni nini? ukilinganisha kuwa amenambia ameanza kunionea wivu kwa kuwa nmemwambia wazi kuwa niko nae but kuwa muhusika mkuu.
Wadau hebu nisadieni maana halisi ya kuwekwa kwenye chupa.,