Kuwekwa kwenye chupa maana yake nini?

Kuwekwa kwenye chupa maana yake nini?

Wanawake wa kisukuma wanajua sana hili suala la kuuweka kwenye chupa. Jamaa yangu aliwekwa kwenye chupa mithili ya chura. Kwao aliaga na hakurudi tena huko kabisa. Hata baba yake alifariki hakwenda kuzika. Ndugu yake mmoja aliona ile chupa na chura ndani yake alipomuuliza shemeji yake alichomjibu ilibidi akimbie kama duma.
 
Eeeh kaka kwa hyo ni kama kupewa libwata au?
 
Eeeh kaka kwa hyo ni kama kupewa libwata au?

Ni zaidi ya limbwata, yani ni kama anachukua ufahamu wako wote, atakachosema ndo utakachofanya. Yani utakuwa kama zuzu, hutosikiliza cha ushauri wa mama sijui baba wala jirani. Huo mchepuko ndo utakuwa remote yako, utakucontrol utakavyotaka.
Huyo achana naye mapema na uanze maombi na kufunga kwa ajili ya kujilinda, otherwise umekwisha.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kaka ndan ya chupa maana yake kwisha habar yako,utakua unamsikiliza yy tu kwa kila k2 hata mshahara wako ukipokea tu wote unampelekea yy,kua nae makini au achana nae kabisa usikubali akupikie,kufua nguo zako..othrwise utajuta!akili kichwan kwko.
 
Nimepata kadada fulani huku kapare.Muislam mimi mkristo.Kaslim body nini,sasa nikamakribisha geto akaja nikaanza kukachezea na vitu vingine vikaendelea.Akarudi kwao. Jioni jana tukawa tunachat na katika chatting na nini akawa anaonyesha kwa jinsi alivochizika na mimi then akanambia kitu kilichonistua kidogo akanambia kuwa ataniweka kwenye chupa.Then akaniambia anaweza nifanya nisiende kazini na hata boss wangu nikwamwita jina lake yani nimwite bosi wangu wa kiume jina la huyo binti (Sijui anataka nifukuzwe kazi)

Leo tumeonana kama lisaa hivi now nimerudi ofisini.Baada ya gemu, leo amenambia kuwa anataka anipikie chakula aniletee lakini nisihofu hataniwekea libwata,baada ya kusema hivo nkamuuliza kwani ana mpango huo.Akanambia nisiwe na wasi hana mpango huo.Nikamuuliza kuhusu swala la kuniweka kwenye chupa akasema maana yake ni kunipa mapenzi kwa kwenda mbele.
Lakini bado kichwa kinaniuma kuhusu haya mambo mawili;Je maana halisi ya kuwekwa kwenye chupa ni nini? ukilinganisha kuwa amenambia ameanza kunionea wivu kwa kuwa nmemwambia wazi kuwa niko nae but kuwa muhusika mkuu.

Wadau hebu nisadieni maana halisi ya kuwekwa kwenye chupa.,

Wewe ni mwanaume wa ajabu sana, yaani badala ya kuogopa kuwekwa kwenye sanduku baada ya kuukwaa UKIMWI unaogopa kuwekwa kwenye chupa
 
Wewe ni mwanaume wa ajabu sana, yaani badala ya kuogopa kuwekwa kwenye sanduku baada ya kuukwaa UKIMWI unaogopa kuwekwa kwenye chupa
Ujue sanduku ni kubwa halafu, haliko airtight kama chupa; so hawezi suffocate humo.
 
atatumia chupa ya cocacola iko transparent angalau utaona onamo... akikuweka kwenye chipa ya bia sasa!
 
Back
Top Bottom