Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,070
- 43,514
ungeweka screenshot ingekuwa vizuri. kivuli kwa maana ya mwanga ni mdogo ama vipi sijaelewa hapaChief samahani hizi channel za azam nikiziangalia zinakuwa na kivuli sana hata nimejaribu kuangalia mpira wa simba na lipuli zimekuwa na gizagiza kidogo, shida inaweza ikawa wapi?
quality ya video mkuu yan watu wanafifia usoni huwaoni vizuri, nimekwenda tools>preference>inputs> nikachangua resolution ya Full HD (1080 PH) ila haijasaidia sanaungeweka screenshot ingekuwa vizuri. kivuli kwa maana ya mwanga ni mdogo ama vipi sijaelewa hapa
screenshot nimeshindwa kuipata ikiwa inaplay mkuuungeweka screenshot ingekuwa vizuri. kivuli kwa maana ya mwanga ni mdogo ama vipi sijaelewa hapa
Mkuu mkwawa hivi kwenye network stem unaandikaje means Mimi niliandika halotel Kwa uelewa wangu imegoma nisaidie kidogoscreenshot nimeshindwa kuipata ikiwa inaplay mkuu
Mi kilama mkuuMkuu mkwawa hivi kwenye network stem unaandikaje means Mimi niliandika halotel Kwa uelewa wangu imegoma nisaidie kidogo
mkuu nami naokoteza knowledge kutoka kwa wenye uelewa wa hivi vitu.kilama Kama unamsaada naomba
unamaanisha kwenye hio vlc? unaandika adresss ya hio tv ubatlyotaka kuplay.Mkuu mkwawa hivi kwenye network stem unaandikaje means Mimi niliandika halotel Kwa uelewa wangu imegoma nisaidie kidogo
huwezi ongeza kwa quality ya streaming style hio. ukistream na simu haiwi hivyo?quality ya video mkuu yan watu wanafifia usoni huwaoni vizuri, nimekwenda tools>preference>inputs> nikachangua resolution ya Full HD (1080 PH) ila haijasaidia sana
Kwa simu sijatumia mkuu, nimetumia tu kwenye pc, kama una alternative nyingine naomba unisaidie mkuuhuwezi ongeza kwa quality ya streaming style hio. ukistream na simu haiwi hivyo?
Mkuu asante kwa elim, ninatatzo la sim yangu kuwa na matangazo, yaan nikiwa naangalia kitu over 2min linapita,mkuu hata hio kodi uliokuwa unaangalia na kuscratch ni iptv pia. iptv inamaanisha tu internet protocal television au kwa lugha rahisi kuangalia tv kwa kutumia bundle lako la internet.
kuangalia tv kwa internet ili isikusumbue ionyeshe vizuri bila kunata nata unahitaji mambo matatu.
1. server ya uhakika ambayo hizo tv zime hostiwa
2. internet yenye speed ya uhakika kulingana na quality unayoplay
3. internet iwe na ping ndogo.
kwa uzoefu wangu internet nzuri ya kuangalizia tv online ni vodacom 3g na 4g, halotel 3g na tigo, smart, ttcl na smile 4g. 4g zote zina ping ndogo na 3g ya voda na halotel zinajitahidi.
nenda playstore download app inaitwa speedtest kisha pima speed yako. angalia mtandao unaokupa ping chini ya 50ms huo utafaa kustream na download speed angalau mbps kadhaa. ukifanikisha hapa utakuwa umesolve point ya pili na tatu kwenye list hapo juu
point ya kwanza huwezi kusolve wewe bali mhusika mwenye hizo tv alieziweka online. tumia chanell zetu za kitanzania itv na azam tv kama standard, nyingi ukiwa na internet nzuri hazita scratch hivyo zikiwa hazi scratch na unakutana na tv nyengine inascratch inamaana hio tv nyengine itakuwa kwenye server mbovu na sio internet yako.
kwakua ndio unaanza, test hizo za kitanzania kwenye vlc, copy hizo url kisha kwenye vlc click file halafu chagua network stream kisha paste hio url na play (kwa pc). vlc ya simu au mx player pia zina uwezo wa kustream hizo url.
yapo vipi hayo matangazo? ukifungua apps ndio yanakuja au hata usipofungua?Mkuu asante kwa elim, ninatatzo la sim yangu kuwa na matangazo, yaan nikiwa naangalia kitu over 2min linapita,
Nmejaribu application zote bt hakuna improvement, je unaweza kunisaidia?
Kwa mfano ninapofungua apps, kama jf au naangalia mpira, ghafula linatokea tangazo na kuziba inabidi kwanza nliondoe, na inatokea kila baada ya chin ya dk 2yapo vipi hayo matangazo? ukifungua apps ndio yanakuja au hata usipofungua?
je ukiwa unaangalia contacts au unaandika msg ya whatsapp au unaandika sms ya kawaida yanatokea?Kwa mfano ninapofungua apps, kama jf au naangalia mpira, ghafula linatokea tangazo na kuziba inabidi kwanza nliondoe, na inatokea kila baada ya chin ya dk 2
Vyote hvyo, ila mbaya zaidi nikiwa naangalia mpira, unastukia tu tangazo waaaaaaaa limefunika kioo, aseee inakera balaaje ukiwa unaangalia contacts au unaandika msg ya whatsapp au unaandika sms ya kawaida yanatokea?
Kama hivKwa mfano ninapofungua apps, kama jf au naangalia mpira, ghafula linatokea tangazo na kuziba inabidi kwanza nliondoe, na inatokea kila baada ya chin ya dk 2
kama ni kote kuna app inafanya hiyo kazi. unatakiwa uitafute uitoe.Vyote hvyo, ila mbaya zaidi nikiwa naangalia mpira, unastukia tu tangazo waaaaaaaa limefunika kioo, aseee inakera balaa
Mkuu mkwawa nimedownload mxplayer nimepita hatua zote mwisho napata Majibu hatua ;the link can't play sasa sijui shida iko wapiunamaanisha kwenye hio vlc? unaandika adresss ya hio tv ubatlyotaka kuplay.
nenda page ya kwanza utazikuta