Kuweka IPTV Katika Receiver

kuna kipindi flani nilikuwa natumia kodi japo si kwa inshu hii ya iptv, hasa kwenye mipira lakini nililazimika kuiondoa kwa sababu ya scratching nying mno hadi nikapata msaada wa sportzone, je, kwa inshu hii unayoisemema hapa naweza kutumia doftware gani nyingine?
 
mkuu nimetafuta software mbalimbali za iptv naziona nyingi ila sina idea hata mojwapo na namna zinavyorun, naomba nisaidie angalau moja iliyo vizuri.
NB: SINA IDEA YOYOTE NA HII IPTV, HIVYO NAOMBA USICHOKE KUNISAIDIA MKUU
 
mkuu hata hio kodi uliokuwa unaangalia na kuscratch ni iptv pia. iptv inamaanisha tu internet protocal television au kwa lugha rahisi kuangalia tv kwa kutumia bundle lako la internet.

kuangalia tv kwa internet ili isikusumbue ionyeshe vizuri bila kunata nata unahitaji mambo matatu.
1. server ya uhakika ambayo hizo tv zime hostiwa
2. internet yenye speed ya uhakika kulingana na quality unayoplay
3. internet iwe na ping ndogo.

kwa uzoefu wangu internet nzuri ya kuangalizia tv online ni vodacom 3g na 4g, halotel 3g na tigo, smart, ttcl na smile 4g. 4g zote zina ping ndogo na 3g ya voda na halotel zinajitahidi.

nenda playstore download app inaitwa speedtest kisha pima speed yako. angalia mtandao unaokupa ping chini ya 50ms huo utafaa kustream na download speed angalau mbps kadhaa. ukifanikisha hapa utakuwa umesolve point ya pili na tatu kwenye list hapo juu

point ya kwanza huwezi kusolve wewe bali mhusika mwenye hizo tv alieziweka online. tumia chanell zetu za kitanzania itv na azam tv kama standard, nyingi ukiwa na internet nzuri hazita scratch hivyo zikiwa hazi scratch na unakutana na tv nyengine inascratch inamaana hio tv nyengine itakuwa kwenye server mbovu na sio internet yako.

kwakua ndio unaanza, test hizo za kitanzania kwenye vlc, copy hizo url kisha kwenye vlc click file halafu chagua network stream kisha paste hio url na play (kwa pc). vlc ya simu au mx player pia zina uwezo wa kustream hizo url.
 
Mkuu msaada wa channel inayoonesha WWE live isiwe recorded yaani kama supersport 9 wanavyoonesha
unaifahamu app ya mobdro? wana chanell nyingi.

pitia hii link
List of Current WWE programs

hio ni list ya chanell inayoonyesha wwe live.

mfano kwa marekani ni usa network

unaenda mobdro unaisearch hio chanell. nimeisearch mimi ipo, unasubiria muda wa pambano unaangalia.
 
Mkwawa samahani bro! Me naomba tu uniasaidie IPTV file ya kuangalia channels adimu kama Clouds TV, StarTV Channel 10 nk....
 
asante sana Chief, ngoja nianze kufatilia then nitakupa feedback, Be blessed for sharing your knowledge mkuu...!!!!
 
mkuu nimelidownload file hili la playlist ila nakwama namna ya kulifungua kwa vlc japo nafuata hatua karibu zote ila nakwama
 
mkuu nimelidownload file hili la playlist ila nakwama namna ya kulifungua kwa vlc japo nafuata hatua karibu zote ila nakwama
achana na playlist kwanza eka link moja moja ambazo zipo page ya kwanza.
 
Mkwawa samahani bro! Me naomba tu uniasaidie IPTV file ya kuangalia channels adimu kama Clouds TV, StarTV Channel 10 nk....
clouds na etv wana app yao inaitwa afrobox, chanel 10, star tv na Tbc nafkiri wapo kwenye app ya TTCL, sababu ni za kulipia hizo za TTCL tuachane nazo. labda tufanye mpango wa hio clouds.
 
achana na playlist kwanza eka link moja moja ambazo zipo page ya kwanza.
thanx chief nimefanikiwa ila ni itv peke yake na niliporudi link ya kwanza nikaziona za azam, dah ubarikiwe sana sana kiongozi wangu...!!!
 
mkuu hizi nimejaribu kama tatu hivi za mpira hazionyeshi..!!!
 
clouds na etv wana app yao inaitwa afrobox, chanel 10, star tv na Tbc nafkiri wapo kwenye app ya TTCL, sababu ni za kulipia hizo za TTCL tuachane nazo. labda tufanye mpango wa hio clouds.
Poa poa mkuu...
 
Kuna application inaitwa vavoo.tv ni nzuri sana na ina channels nyingi za sports
 
zitakuwa zishakufa ni za mda hizo, tabu ya tv za kulipia ndio hio huwezi ukakaa na link siku nyingi
Chief samahani hizi channel za azam nikiziangalia zinakuwa na kivuli sana hata nimejaribu kuangalia mpira wa simba na lipuli zimekuwa na gizagiza kidogo, shida inaweza ikawa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…