Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,226
- 44,230
jaribu kutengeneza simple text file lenye extension ya .strm kisha uload hilo file, au subiria nizieke pamoja nizi upload baadae.Nimetumia pvr iptv simple client kwenye KODI halafu nikatia hiyo link
jaribu kutengeneza simple text file lenye extension ya .strm kisha uload hilo file, au subiria nizieke pamoja nizi upload baadae.
Ukikamilisha nielekeze nijue jinsi ya kuziweka kwenye kodi plzjaribu kutengeneza simple text file lenye extension ya .strm kisha uload hilo file, au subiria nizieke pamoja nizi upload baadae.
kodi niliyodownload nafata procedure zote but nakwama mkuuFile hilo lipo kama zip,
Utaliextract ndani utakuta file la bongotv.strm
Utafungua kodi, kwenye video ckick add file then utachagua folder ambalo hilo file la bongotv lipo mfano lipo downloads/bongotv chagua hilo kisha click ok,
Ukiingia kwenye kodi nenda videos kisha utaona folder lile ulilochagua, ukiingia utaona tv zako zote.
Kama njia hii ni ngumu nitajaribu kueka playlist ya mxplayer au lazyiptv
Imekwama step gani?Duu
kodi niliyodownload nafata procedure zote but nakwama mkuu
Nafungua kodi nafika mpaka hapo kwenye videos sipati option ya kuadd file na hii kodi ina vi features vingi tofauti na ya mwanzo sasa sijui wameiupdateImekwama step gani?
Mkuu nimeshaweza asante sana iko vizuriNafungua kodi nafika mpaka hapo kwenye videos sipati option ya kuadd file na hii kodi ina vi features vingi tofauti na ya mwanzo sasa sijui wameiupdate
Mkuu tunasubir hyo ya MX playerFile hilo lipo kama zip,
Utaliextract ndani utakuta file la bongotv.strm
Utafungua kodi, kwenye video ckick add file then utachagua folder ambalo hilo file la bongotv lipo mfano lipo downloads/bongotv chagua hilo kisha click ok,
Ukiingia kwenye kodi nenda videos kisha utaona folder lile ulilochagua, ukiingia utaona tv zako zote.
Kama njia hii ni ngumu nitajaribu kueka playlist ya mxplayer au lazyiptv
Uliwezaje? Na mimi napata tatizo kama hilo ulilolisema.Mkuu nimeshaweza asante sana iko vizuri
extract humo ndani utaona playlist play na mxplyer, ikikataa play na vlcMkuu tunasubir hyo ya MX player
yenye ping ndogo eneo lako, mara nyingi mitandao ya 4g au voda na halotel kwa 3g.Ni internet ya kampuni gani inafaa kwa kufanyia streaming?
unali extract kwanza kisha unaliclick litaplay,kaka nimepakua ili file japo siwez kuliingiza nawezaje kutengebeza iyo text file na kuingiza kwenye mx player?
uamuzi wako tu,msaada na kwa kutumia pc unafanyaje