Kuwe na somo la Sheria sekondari

Kuwe na somo la Sheria sekondari

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,436
Reaction score
3,557
Ni muhimu sana kwa watu kujua sheria,kuzisoma,kuzitafsiri,namna ya kuzitunga nk.

Watu wengi wanakutana na kadhia lakini wanashindwa hata kujua ni namna gani afungue kesi mahakani mpaka amtafute mwanasheria ama wakili ndio amsaidie.

Kuna ulazima wa kuwa na somo liitwe FUNDAMENTALS OF LAW,lifundishwe kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita, hii itasaifia watu wengi kujua sheria zote za nchi ,urahisi ktk uendeshwaji wa kesi mahakamani nk.
 
Mfundishwe Ili mjue haki zenu? Tutawafundisha wajibu tu. Haki ilitupwa na Adam pale bustanini. Kuijua mpaka upigane kwa nguvu. Wajibu tu ni lazima maana aliyechukua utawala wa Dunia anataka mumtumikie. Ametengeneza mfumo ambao wanaojua hawataki wengine wajue Ili wasifumbuliwe macho wakajua wanaonewa.
 
Back
Top Bottom