kuwasha taa au kuzima taa..... ipi bomba? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuwasha taa au kuzima taa..... ipi bomba?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kigarama, Oct 1, 2011.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2011
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Experience yangu kuhusu mahusiano inanionyesha kuwa kuna wanawake na wanaume ambao hupendelea kuwasha taa wanapokuwa faragha wakati wengine wanapendelea kuzima taa wanapokuwa kwenye "shughuli". All in all, bomba ni ipi, kuzima taa au kuwasha taa. Na kama kuzima au kuwasha taa kunaathari yoyote wakati wa kuduu?
   
 2. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #2
  Oct 1, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  taa za blue...
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  Oct 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Iwe kati ya kuzima na kuwasha.... yaani mwanga hafifu....

  Athari za Kuzima taa....
  • Unamsoma mwenzio kwamba hana confidence - yaani na taa hayupo huru saana (hio tunapenda wadada saana)
  • Ku fakisha ni kwa saana for huwezi msoma mwenzio usoni for mara nyingi sounds sio reliant...
  • Yategemea siku hio mko kivipi na kwa mda gani mmepanga hio faragha, for kama mmepanga kesha ina maana yale yoote mloweka pembeni kama maybe drinks or the like mbona sasa mtamwagiana....
  Athari za kuwasha taa..

  • Mwanga mkali yaweza muumiza hadi macho aloface juu....
  • Inaweza fanya mmoja wapo a-lose concetration ya tendo... Mfano; umeona bili ya umeme juu ya meza na huna pesa ya kuilipia... unaanza kufikiri sijui itoke wapi.
  • Mkimaliza mnaanza kutegeana nani azime... maana woote mpo hoi, na usingizi na taa kali wapi na wapi??
   
 4. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mwanga hafifu ndio bomba,mataa makali haihusu kbs kwan tunawinda? naweza airisha game to next wiki!
   
 5. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ashadii bwana... kama huyo mwanaume ni mchaga anaeza kuhairisha kabisa kwa sababu ya iyo bold hapo
   
 6. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  kuwasha taa kunasaidia kuongeza mapenzi kwani kuna vitu unawez kuviangalia kwa mwenzako vikakusisimua zaidi lakini ukizima taa mpaka uviguse sio vingi
   
 7. E

  Emeka Onono Senior Member

  #7
  Oct 1, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duu! Ila reasons zako ni logic AD! Kwa uamuzi wanao wenyew kuzima au kuwasha,
   
 8. a

  amenyamana Member

  #8
  Oct 1, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanga hafifu unafaa zaidi giza sio ishu,pia taa za rangi zinafaa zaidi.
   
 9. Kyalow

  Kyalow JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  kuwasha taa poa banaaa kwanza unamfaidi mtoto alivo jaaliwa
   
 10. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kuzima taa? Labda kupunguza mwanga. Kama ulimpata gizani unaweza kuzima taa, otherwise...
   
 11. s

  shosti JF-Expert Member

  #11
  Oct 1, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  unazima taa unaficha nini jamani...
   
 12. GABOO

  GABOO Senior Member

  #12
  Oct 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Disco light ndio poa!lol!
   
 13. S

  Sgaga Member

  #13
  Oct 1, 2011
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  zima taa kisha washa tochi itazame juu.
   
 14. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #14
  Oct 1, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ha ha ha ha!Yaaani woote mko sawa kabisa!
   
 15. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #15
  Oct 1, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Kama ni kijijini, washa kibatari kisha kiweke kwenye kona ya mbali.
   
 16. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #16
  Oct 1, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  taa hafifu
   
 17. Mtafiti1

  Mtafiti1 JF-Expert Member

  #17
  Oct 1, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kila mtu na anavopenda.
  Natural light ni nzuri ila kama ni usiku wekeni dim lights... hujenga mandhari nzuri ya kusisimua.
   
 18. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #18
  Oct 1, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Inasemekana wanaume hufurahia tendo zaidi taa inapowashwa.
   
 19. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #19
  Oct 1, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  uko sawa
  unajua kwa nini?
   
 20. 2my

  2my JF-Expert Member

  #20
  Oct 1, 2011
  Joined: Jan 30, 2010
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiv kwenye giza unaweza potea njia au ni kama kula chakula gizani hukosei mdomo?
   
Loading...