MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,824
- 48,833
- Thread starter
- #81
Kwani nato hawajatia guu ukraine? Ingekua urusi anapigana na ukraine tu mbona angeshafunga biashara zamani. Ukraine licha ya silaha za nato askari wa nato wako wanapigana kama mamluki. Kuna wamarekani na waingereza mateka kuthibitisha wala hakuna ubishi. Lakini pamoja na usaidizi wa nato mrusi kashateka sehemu kubwa majimbo 4 yenye raia warusi. Majimbo hayo raia wanataka kujiunga na urusi.
Ukraine saa hizi wanazungumzia kukomboa maeneo yaliyotekwa wakati warusi wanszungumzia kulinda maeneo waliyochukua ya ukraine
Ndio nasema mwambieni huyo Urusi ajifanye amekosea njia apige Latvia, kataifa kadogo jirani yake hapo ila mwanachama wa NATO, ndio muelewe nini maana ya NATO kutia guu pale, Urusi itafutika kabisa, yaani kwa ambavyo wameteswa na Ukraine kwa kweli hawawezi kusimama kwenye vita dhidi ya taifa lolote kubwa, hata China na India wanajifanya kumsaidia Urusi ila wanachekelea sana.