Izo ni porojo zenu tu mm nnawatoto 6 wote nimewatawanya kwa ndugu na bado naendelea kuzaa na ntaendelea kuwatawanya hadi kieleweke! Tatizo lenu mishale ya akili inagonga kwenye kula tu eti ooh! Muda wa kula ananituma mbali!!!!!
naona jamaa anakamia ligi!Naomba ufafanuzi hapo kwenye red

Izo ni porojo zenu tu mm nnawatoto 6 wote nimewatawanya kwa ndugu na bado naendelea kuzaa na ntaendelea kuwatawanya hadi kieleweke! Tatizo lenu mishale ya akili inagonga kwenye kula tu eti ooh! Muda wa kula ananituma mbali!!!!!
hongera sana, ni wachache sana wenye moyo kama wako. Wazazi wangu walikuwa na roho nzuri sana, wageni walikuwa hawakauki nyumbani, walisoma na kupatia kazi nyumbani. Ila toka wazazi wafariki hatukuwa na thaman yeyote kwao.duuh nashukuru sana haya mambo hayajanikuta kwa maana mimi ilikua mgeni tuu akija kwetu sitaki anyanyasike kwa namna yoyote ile labda nisijue tena kama ndio katoka kijiji nampa nguo namganda najipendekeza kwake mpaka natimuliwa na maza

kwa mtazamo wako,afadhali nani awe mkali kati ya mwanamke na mwanaume kwenye familia

Roho mbaya maana yake ni nini? Kutegemea fulani akusaidie bila kujua malengo yake ni yapi na bila kujua bajeti zake zinaendaje? Kuingilia taratibu za maisha ya watu na kutaka kuweka sheria yako? Je? Ukiona mtu anaendesha gari una uhakika amenunua kwa hela yake hivyo hatoshindwa kukununulia wewe mdogo yake Pikipiki? au amekopa?

Kuna vitu ni dhahiri siyo vizuri kama kumnyima mtu chakula (kama unacho) lakini ukiangalia malalamiko mengi yanatokana na sisi kutaka njia za mkato kufanikisha maisha yetu kupitia migongo ya wengine bila kujua wenyewe wanaishi vipi. Kama ukipeleka proposal ya msaada kwa ndugu na ukiona anakwepa tafuta option B na angaika kivingine achana nae..

Kunyimana chakula,nyama ndogo,mchuzi chukuchuku hizo ni tabia za watu na wache wenyewe wazitatue hatuwezi kuzijadili hapa..Mtu akikunyima chakula si haki yako kumlazimisha..mwambie mwenyeji wako kuwa unaona kuna matatizo ya chakula hivyo ulihahidi kukaa wiki lakini umekatisha ziara..na unandoka.. atapiga hesabu na siku nyingine atajirekebisha....Mimi binafsi mtu akiniaga kwa kuniambia hivyo nakubali aende lakini huku nyuma shemeji yako ..anatakiwa aandike paper ya maneno yasiyozidi 2500 with references ku-debate hiyo assignment..Sidhani kama kila siku atapenda tena kuandika hizo assignments ..atajua jinsi ya kuwakirimu wageni..
bora umemuweka sawa

Mkuu kuna post yoyote hapa mhusika ameongelea kuomba msaada toka kwa ndugu yake? Hapana. Yanayoongelewa hapa ni masuala ya maisha ya kila siku ugenini. Je familia inayokuhost inakuchukulia kama part and parcel ya familia yao ama wanaonesha ubaguzi wa dhahiri hasa hasa katika vitu kama vile chakula na mgawanyo wa kazi. Kumbuka pia karibu wote wanaochangia wanatoa experience zao enzi zile utotoni wanakaa kwa ndugu wakisoma shule ama wakiwa likizo tu. Hata wale waliokaa ukubwani nadhani mada bado inahusu kile kile ile hospitality ya kifamilia ipo? Si mambo ya misaada

hongera sana, ni wachache sana wenye moyo kama wako. Wazazi wangu walikuwa na roho nzuri sana, wageni walikuwa hawakauki nyumbani, walisoma na kupatia kazi nyumbani. Ila toka wazazi wafariki hatukuwa na thaman yeyote kwao.
Asante na nilishapoa kwani ni maisha yaliyonifanya niwe na juhudi za ziada ktk shule, mpaka leo naamin juhud haimtupi mtu.

ooh! Pole sana ila msimjali wala msiwakumbushe kuna kauli inasema 'maisha shule' kila mtu atapita na atajifunza.

0
Imekuwa ikisemwa hivyo mara kwa mara. Mimi niliamini huu usemi mwaka 2002., nakumbuka nilikuja Dar kufatilia uhamisho wangu wa shule, nilikaa kwa baba yangu mdogo kwa takribani wiki moja. Huyo mama niliyemkuta hapo alikuwa hapiki mpaka mumewe awepo. Wiki niliiona kama mwaka, hata nilipoaga nilipewa nauli kimanati. Najua wengi tumepitia kwa ndugu kutokana na sababu mbalimbali, kuna walioishi vizuri lakini wengi wanalalamika. Je tatizo hasa nini? Ukiwa ni miongoni mwa uliyetendewa mabaya, umejifunza nini?
mkuu nauli nilikuwa nayo, nilipoona wananizingua nikawaambia naondoka, ndipo wakaanza kujikanyaga kujidai anatafuta nauli, nakumbuka alizuga anaenda kukopa kwa jirani.Unaenda kwa watu hata nauli ya kurudi kwenu huna? Kwa nini wasikuone mzigo?
unakuwa ugenini hata kushika remote unaogopa!!?generaly,kuishi kwenu inakuwa vizuri sana maana upo free na una uhuru wa kufanya mambo yako mengi tu pasipo kubugudhiwa
aaah aaah eti kuvimbia msosi! Kwanini nawe unyime watu msosi?Binafsi nimepitia kwa watu na nilikuwa na malalamiko kama ya wengine hapo juu. Lakini bahati nzuri baada ya kuanza familia nikapata bahati ya kuishi na ndugu wa pande zote wanaonitegemea kwa kiasi kikubwa. Hapo ndo niligundua kuwa usilalamike kabla hujaexperience upande wa pili. Baadhi ya ndugu(including me kipindi kile) wanakuwa na expectation za juu sana, wanadhani kwa sababu kaka/dada/shemeji/mjomba wao ana gari/nyumba nzuri basi kila kitu watakachotaka watapata. Mjini mipango jamani. Sikatai kuwa hauna wanyanyasaji, wapo lakini na ndugu pia wana maudhi yao. We unapofikia kwa ndugu yako, angalia kilichokupeleka pale, kama unapitia tu ili kufanikisha ishu zako we komaa na mipango yako otherwise ukianza kuvimbia ishu za misosi utapoteza mwelekeo! Usitegemee kwa ndugu utaishi kama kwenu, hilo sahau