Kuwa ugenini mateso

Kuwa ugenini mateso

Haya mambo yako pande zote zote. Sisi mama yetu alikuwa anatuambia tulale kwenye makochi wageni wakija nyumbani ambao most of them ni ndugu upande wa baba. Kuna waliokuwa wanakuja bila hata malengo; si wa kuondoka leo au kesho lakini tulikuwa tunabanana tu. Wengine wakaja ku win maisha tukawa tunawasikia bombani wala shukurani hawana.

Wengine ni ndugu wa mbali. Wanatangaziana tu huko kijijini; ukienda dar fikia kwa mzee fulani ana nyumba kubwa. Tena wanakuja kwa kushtukiza maana those days hakukuwa na simu za viganjani ni za kukoroga tu. Mnashtukia mtu katia timu. Sisi tulikuwa tuna mind kweli maana tulikuwa hatuko comfortable lakini mama alikuwa mkali kweli yani priority kwake ni wageni. Mama alipoachana na baba walikuwa wa kwanza kushangilia wala hawakuwa wanakumbuka fadhila zake. Binadamu ni wagumu sana kuishi nao.

halafu hv ni kwanini wanawake ndo huwa na roho mbaya sana kwenye hz ishu?

Kwa maisha niliyoishi drs la 5 hadi 7 mungu ndo anajua.

Leo hii mama yule akiniangalia usoni anainamisha kichwa,haamini kama ndo namalizia malizia university.

Nakumbuka mama mzazi alinishauri enzi zile alipopewa ful stor na majiran kwa vile me nilikuwa sio muongeaji,"mwanangu wala usimchukie,soma hvyo hivyo tu,siku ukipata kazi mnunulie zawadi nzuri sana umpelekee"

na nitalitimiza hilo!

Khaaah! Hii thread imenikumbusha mbali sana,eeh mungu msamehe mama yule!

SIYO WANAWAKE TU HATA WANAUME WANA ROHO MBAYA. Nimekaa familia 3 tofauti. Ya 1 ilikuwa kwa uncle wangu, ancle alikuwa katili,mkali sana, lakin mkewe (aunt) yetu alikuwa mpole sana, hakutukatisha tamaa juu ya ukali wa ndugu yetu na yeye ndiye alisababisha hata ndugu wa mume wake tuweze kuishi pale au kuwatembelea. Ya 2 kwa uncle mwingine, uncle alikuwa mpole,mwenye upendo sana lakin mkewe mmh! Balaa mchoyo,mkali,mwongo na tabia zote mbaya unazozijua tulikaa kijeshijeshi,ki kimbizikimbizi. Ya tatu kwa kaka yangu, kaka yangu mkali,katili hana upendo hata kidogo lakin mkewe (wifi) yetu ni mpole,utu,mkarimu anatabia nzuri sana smtms nahisi kama siyo binadamu ni malaika ksb anatabia njema kupita kiasi, simchukulii kama ni wifi yangu bali ni dada yangu, tunakuwa karibu na familia yao ksb ya wifi na utu wa watoto wao tu lakin huyo kaka yetu ni balaa kwa roho mbaya, ila tunamshukuru mungu kwa kumpa mke mwema asiye na ubaguzi kwetu, tunampenda,tunamheshimu na tunamwombea uhai na afya njema zaid. Pamoja na kasoro zao hao wote bado nawapenda ksb kupitia hizo tabia zao nimejifunza mengi sana na zaidi ya yote ni UVUMILIVU NA KUJITEGEMEA PASIPOKUWA NA MAWAZO YA KUJIDEKEZA,MAZINGIRA YOYOTE NAWEZA KUISHI TENA KWA FURAHA NA AMANI MOYONI MWANGU.

Kwahiyo mi naamini ubaya hauna jinsia ni TABIA INAYOWEZA KUTOKEA KWA JINSIA YOYOTE ILE. Tunachotakiwa kufanya ni kuvumiliana na kupendana tu pamoja na hizo kasoro zetu.

Nashukuru Mungu toka kanda ya kati hadi Dar ,niiliishi kwa ndugu bila matatizo yeyote,nikweli tulishare walichonacho.

Namshukuru Mungu sasa naweza nikaongea nikaeleweka kwa msaada wao.

MAY GOD GIVE YOU IN ABUNDANCY.

SIYO WANAWAKE TU HATA WANAUME WANA ROHO MBAYA. Nimekaa familia 3 tofauti. Ya 1 ilikuwa kwa uncle wangu, ancle alikuwa katili,mkali sana, lakin mkewe (aunt) yetu alikuwa mpole sana, hakutukatisha tamaa juu ya ukali wa ndugu yetu na yeye ndiye alisababisha hata ndugu wa mume wake tuweze kuishi pale au kuwatembelea. Ya 2 kwa uncle mwingine, uncle alikuwa mpole,mwenye upendo sana lakin mkewe mmh! Balaa mchoyo,mkali,mwongo na tabia zote mbaya unazozijua tulikaa kijeshijeshi,ki kimbizikimbizi. Ya tatu kwa kaka yangu, kaka yangu mkali,katili hana upendo hata kidogo lakin mkewe (wifi) yetu ni mpole,utu,mkarimu anatabia nzuri sana smtms nahisi kama siyo binadamu ni malaika ksb anatabia njema kupita kiasi, simchukulii kama ni wifi yangu bali ni dada yangu, tunakuwa karibu na familia yao ksb ya wifi na utu wa watoto wao tu lakin huyo kaka yetu ni balaa kwa roho mbaya, ila tunamshukuru mungu kwa kumpa mke mwema asiye na ubaguzi kwetu, tunampenda,tunamheshimu na tunamwombea uhai na afya njema zaid. Pamoja na kasoro zao hao wote bado nawapenda ksb kupitia hizo tabia zao nimejifunza mengi sana na zaidi ya yote ni UVUMILIVU NA KUJITEGEMEA PASIPOKUWA NA MAWAZO YA KUJIDEKEZA,MAZINGIRA YOYOTE NAWEZA KUISHI TENA KWA FURAHA NA AMANI MOYONI MWANGU.

Kwahiyo mi naamini ubaya hauna jinsia ni TABIA INAYOWEZA KUTOKEA KWA JINSIA YOYOTE ILE. Tunachotakiwa kufanya ni kuvumiliana na kupendana tu pamoja na hizo kasoro zetu.

kwa mtazamo wako,afadhali nani awe mkali kati ya mwanamke na mwanaume kwenye familia

....ni roho mbaya tu za binadamu....nashukuru me sijapitia hayo ila nimeona wengi......kuna dogo mmoja zamani mtaani alikuwa anawekewa chakula pamoja na mbwa wale pamoja....imagine?sijui hata yuko wapi sasa najua atakuwa amekuwa mtu mzima

kwa mtazamo wako,afadhali nani awe mkali kati ya mwanamke na mwanaume kwenye familia

Bora mwanaume awe na roho mbaya, kuliko mwanamke akiwa na roho mbaya. kwangu mimi ni bora mara 100 kuishi na mwanaume katili/roho mbaya kuliko kuishi na mama katili. ukatili wa mwanamke mmh! naugopa sana sana tena sana. Nyumba ya baba katili inavicheko na furaha japo masaa machache, lakin nyumba ya mama katili ina vilio,huzuni 24/7...

Mungu wa ajabu sana ksb katika kautafiti kangu kadogo sijawahi kuona ndoa yenye wanandoa katili wote, bali kuna mchanganyiko yaani mama akiwa mkali basi baba mpole au mama mpole na baba mkali, na wengine wote wapole lakin ndoa yenye wakali/katili wote SIJAWAHI KUONA.

BADO MSIMAMO WANGU NI ULEULE BORA KUISHI KWENYE FAMILIA YA BABA KATILI NA MAMA MPOLE, LAKIN YA MAMA KATILI NA BABA MPOLE NAOGOPA SANA. MWANAMMKE AKIKUCHUKIA ATAHAKIKISHA HATA MATE HAUTAMEZA. LAKIN AKIKUPENDA AAH NI RAHA KWA KWENDA MBELE. MWANAMKE NI KAMA MAPENZI BANA HAUWEZI KUISHI BILA MAPENZI NDIVYOHIVYO HAUWEZI KUISHI BILA MWANAMKE.

siku zote mwisho wa ubaya ni aibu nzito. unamtendea mtoto ama ndugu ubaya, unanyanyasa, unamnyima chakula, unamsimanga, kumfanyisha kazi kama punda, ajabu huyo unaye mfanyia hayo yote Mungu anamuinua nawe unabaki labda.

Lakini tunalalamika sana, mwisho wa siku sisi ndiyo baba/mama. Je tunaishije na ndugu zetu? Maana hizi kero haziishi.

Hakuna wa Ughaibuni humu watupe nao experience zao, hasa wale ambao karatasi zinawasumbua..

Ughaibuni maisha ni mazuri .

Uzuri ni kwamba mtu anasafiri akijua hana ndugu anakoenda so you know what to do,hakuna kukurupuka.

Watanzania wengi wanajitahidi kusaidiana,maana kale kaujamaa kametusaidia.Watanzania waliopinda kwa utafiti wangu ni kama 1/50 hiv.
Ndugu zetu wa KNY NA UG,NI tofauti sana ,wao wajali sana haya makaratasi katika kusaidiana.

Ndugu zetu wengine Waafrika pia wanajitahdi kusaidiana wakati wa shida.

Hicho ndicho kilichonifanya nisiende kukaa kwa watu maishani mwangu. Naelewa kuwa kuna wengi situation zinawalazimu kufanya hivyo. Ila kama ni kuchagua kwa kweli kukaa kwa watu tabu. Nakumbuka nilienda kumtembelea ndugu yangu Arusha, yani I had to pretend being a good girl. Kuamka saa kumi na mbili, wakati home kama siendi school nalala nitakavyo.

Kwa watu napiga kazi kweli kweli. Yani mpaka mtu unaaga wanakwambia njoo tena next holiday. Maana wanaona wamepata housegirl wa bure. Wengi hawalijuhi hilo kuwa huwezi kuishi maisha kama ya nyumbani kwenu ukiwa ugenini.

kuishi kwa watu lazima ubadilike
usiishi kama uko kwenu

Kitu ambacho wanawake wengi mnapaswa kujifunza ni kuwa matendo yenu ya hapa duniani yana count maisha yenu ya baadae mnathamini sana vitu vidogo kama vyakula,mavazi etc lakini ibada kwenu ni unafiki mtupu shauri yenu

hicho ndicho kilichonifanya nisiende kukaa kwa watu maishani mwangu. Naelewa kuwa kuna wengi situation zinawalazimu kufanya hivyo. Ila kama ni kuchagua kwa kweli kukaa kwa watu tabu. Nakumbuka nilienda kumtembelea ndugu yangu arusha, yani i had to pretend being a good girl. Kuamka saa kumi na mbili, wakati home kama siendi school nalala nitakavyo.

Kwa watu napiga kazi kweli kweli. Yani mpaka mtu unaaga wanakwambia njoo tena next holiday. Maana wanaona wamepata housegirl wa bure. Wengi hawalijuhi hilo kuwa huwezi kuishi maisha kama ya nyumbani kwenu ukiwa ugenini.

sio wewe tu
wengi tumejifunza mengi ugenini...

Mimi kuna vyakula nilipokuwa mdogo nilikuwa sili
na home kwetu hatukuwahi kushinda bila kula

but kwa ndugu nilijifunza kula kitu na kushinda na njaa pia....

Siku moja kwa baba mdogo tumekaa siku nzima bila kula
ikawasili mihogo saa sita usiku.....tulii ilamba kama asali...

kwa watu nakumbuka nilienda kwa ba mdogo likizo
wakati wa kulala watoto wote wamewekewa net ya mbu
mie hakuna, eti watoto wanalala saa mbili mie nakosha vyombo
wakati mmoja ni mkubwa kuliko mie,kuanzia hapo sikupenda tena
kwenda kusalimia

sometimes mateso yanasaidia kujifunza life

Similar Discussions

Back
Top Bottom