Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,188
- 27,045
bae na mm nafanyia kazi utanijulisha umefikia wap na changamoto zip tusaidianeAsante comrade, huu Mchanganuo mzuri ngoja nitaufanyia kazi
bae na mm nafanyia kazi utanijulisha umefikia wap na changamoto zip tusaidianeAsante comrade, huu Mchanganuo mzuri ngoja nitaufanyia kazi
Jaribu na dingimtoto, mm nitafanya na mumu na si kujaribu kama ww.
Sawa!! Itapendeza bae umeamkaje lakinbae na mm nafanyia kazi utanijulisha umefikia wap na changamoto zip tusaidiane
salam.miss youSawa!! Itapendeza bae umeamkaje lakin
Aww !! Unizidi mimisalam.miss you
usingizi baeAww !! Unizidi mimi
Jana ulikua wap?
Hmm!! Na kweli una mahaba na kitanda ila punguza baeusingizi bae
umenena ukweli mtupumkuu kuna uzi kama huu niliupitiaga nikakaa chini nikaufanyia kazi mkuu umelipa sana.Kuliko kujenga nyumba ambayo utapangisha watu chumba elfu 30-60 chumba kwa mwezi ni bora kufuga kuku mia kwenye hicho chumba nikiwa na maana kuwa ukiwa na ukuku mia una uhakika wa mayai 20 kila siku sasa yai moja la kienyeji ni 500 * 20= 10,000 so kwa mwezi una uhakika wa laki tatu ukitoa matunzo na usimamizi unabakiwa na 150,000( makadirio ya juu sana) sasa hapa hujapigiana kelele na mtu kachafua nyumba kabomoa mlango sijui umeme sijui kuvuta uchafu NK.Hii salio linatosha kabisa kwa familia ya kawaida kulipia bili ya umeme na maji kwa mwezi na kusukuma angalau kwa mboga kwa siku mbili tatu huku pia cku moja moja na wewe mfugaji kula mayai mara moja moja.
Emancipate yourselves from mental slavery, none but ourselves can free our minds!
mkuu hii forum ya kilimo hapa JF imenisaidia sana kubadili maisha na mtaamo wangu kuhusu maisha hasa katika ufugaji wa bata (bata Bukini) na ufugaji wa kuku pamoja na kilimoumenena ukweli mtupu
Nimeanza mwezi March na kuku 35 tu
Leo ninao kuku 120 (110 ni vifaranga na mayai tunaokota karibu 5 kila siku)
Ninaona taa ya kijani mbele maana soko ni uhakika kabisa
kama hapandi, mkaange. waachie majike wakadange. watakuletea mayai tu.Vipi huyo jogoo mmoja... ikatokea hapandi mtungi si bajeti inaharibika maana hakutakuwa na watoto wa kuku wapya
Imagination ndio mwanzo wa kila kitu,ili ukija kwenye reality imagination inakupa nguvu ya kuendelea.Farming looks mighty easy when your plow is a pencil and you're a thousand miles from the corn field.
Aiseee changamoto zinakatisha tamaa hatimaye wengi huendea njia za haraka za mafanikio.Wabongo hz kwao sio fursa ila ukiwaambia kuna software ya kudownload hela TMT inaitwa Forex wanakuja fasta na viingilio juu.
kama hapandi, mkaange. waachie majike wakadange. watakuletea mayai tu.
Labda alikuwa anamaanisha vifaranga, sijui kama kimehesabu hii kitu iko sahihi. Kiufupi huyu mleta maada hajawai fuga kaikota hizi tango poli mtandaoniMkuu are You serious kuku wa kienyeji 11 ndani ya miezi 3 utakuwa na kuku 300+ ???
Uongo sio kitu kizuri kabisa.... Nataka nifanye utafiti kwa kukutembelea najua utakuwa na record ya kuku wa kuanzia 11 then tuone hadi sasa una kuku wangapi????
Inawezekana mkuu, kikubwa adabu katika kupambana na hiyo kazi na pia kufuata taratibu zote za ufugaji kuku kiutaalamu.Labda alikuwa anamaanisha vifaranga, sijui kama kimehesabu hii kitu iko sahihi. Kiufupi huyu mleta maada hajawai fuga kaikota hizi tango poli mtandaoni