Lambo jini
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 243
- 334
Hapa ndipo panakukwamisha mkuunahisi ni kama nimelogwa wakuu
Mkuu mademu kadri unavyowatafuta sana ndio huwapati, and vice versa. Hizo ni Nyege zinakutesa.Nisiwachoshe nasumbuliwa na upweke kupita kiasi kila demu nnayemtongoza ananikataa tofauti na kipindi nna miaka 22 hadi 24 ambapo walikuwa hawachomoi na mimi ni kijana msafi mtanashati now nna miaka 27 nahisi ni kama nimelogwa wakuu mwenye msaada wowote kimawazo au tiba atakuwa amenisaidia sana
hapa umemaliza kila ktu akiyashka haya amefaulu huo mtihani wake. Pia ajfunze mbinu mpya uwenda ana mbinu za shobo na kujionyesha, kujdai, misifa, dharau epuka haya. Kama una mdomo sn punguza kuongea ongea mademu wakufahamu kama si muongeaji sn, usiwape attention jfanye kama huna hbr nao. Kuna madingi ya 50+ yanapga hogo vibinti vya form 2 tn yanawabadilisha kama nguo we 27 ( ingawa uko zaid ya huu umri ) unajiona uko aged.Mkuu mademu kadri unavyowatafuta sana ndio huwapati, and vice versa. Hizo ni Nyege zinakutesa.
Focus na issues zako then mademu watakuja tu automatic.
Be a Man, Stay Taliban.
Hali yako ya kiuchumi ikoje wakati huo nasasaKwema wakuu
Nisiwachoshe nasumbuliwa na upweke kupita kiasi kila demu nnayemtongoza ananikataa tofauti na kipindi nna miaka 22 hadi 24 ambapo walikuwa hawachomoi na mimi ni kijana msafi mtanashati now nna miaka 27 nahisi ni kama nimelogwa wakuu mwenye msaada wowote kimawazo au tiba atakuwa amenisaidia sana
Shukrani
pole mkuu kwa kufilisika.Tafuta hela upya usiambulie kuwaita mashemeji.Kwema wakuu
Nisiwachoshe nasumbuliwa na upweke kupita kiasi kila demu nnayemtongoza ananikataa tofauti na kipindi nna miaka 22 hadi 24 ambapo walikuwa hawachomoi na mimi ni kijana msafi mtanashati now nna miaka 27 nahisi ni kama nimelogwa wakuu mwenye msaada wowote kimawazo au tiba atakuwa amenisaidia sana
Shukrani
Swali gani hili nakwede, mbona wengine hatuwapi hela na tunawapata.Hela unawapa??
Duh hela tenaHela unawapa??
Unajua una Mambo ya kijingaJaribu na mashoga tuone
Eeeh wasichana anaowapata utakuta ndo wale wanatka maisha mazur Kwa mwanaume Sasa kama hatoi hela unafikiria kunaatakaye weka Kambi hapoDuh hela tena
Duh hela tena