Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
love connect panakuhusu weweNifute machozi sasa[emoji6] Watanzania tusaidiane wenyewe kwa wenyewe
love connect panakuhusu weweNifute machozi sasa[emoji6] Watanzania tusaidiane wenyewe kwa wenyewe
Amna natania tu bana[emoji1787][emoji1787]love connect panakuhusu wewe
Brooo nimependa hii... agiza moja baridi ntakujalipia [emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]Mzee ukitaka ustaarabu kwenye mapenzi imekula kwako.....jishetue akili anza kutongoza hovyo hovyo usiogope sijui heshima itashuka sijui nini nini hiyo heshima unamuwekea nani na kwa faida gani......wakisema wewe malaya fresh tu maana kuna watu wanaendesha maisha kwa kufanya vituko na maisha yanaenda japo wanadharaulika. ......piga saundi hadi atakapo patikana wa ukweli....kama ww domo zege omba ushauri
hata kama hautanii sio mbaya pia kupita na kuangaza unaweza pata kikufaachoAmna natania tu bana[emoji1787][emoji1787]
Kweli unalosemaNdoa ni taasisi ngumu kwakweli. Wapo waliobahatika kupata wenza sahihi na wanafurahia sana Ndoa zao.
Ila kwa asilimia 70 ya wanandoa wanapitia maumivu yaliyotokana na watu waliowahi kuwapenda hapo awali.
Ndoa huwa tamu ile miaka miwili ya mwanzo tu, baada ya apo kila mtu anakuwa na tabia zake halisi na kujikuta hampendani tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata kabla haujasema nilishajua upweke unakusumbua. Sio kwa mafuriko ya hizi nyuzi.
Nimefungua threads nyingi kwasababu nina brain over charge tatizo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmh![emoji23]Wakati wengine ndo tupo interested kuwa lonely. Poleeeeh
What do you mean?Kwann nyuuzi. Nyingi humu ndani ni za kutatish . Tamaa. Ktk madope.
[emoji91][emoji91][emoji91] mkuu mbona kama unaniandikia mimi huu ujumbe?Mzee ukitaka ustaarabu kwenye mapenzi imekula kwako.....jishetue akili anza kutongoza hovyo hovyo usiogope sijui heshima itashuka sijui nini nini hiyo heshima unamuwekea nani na kwa faida gani......wakisema wewe malaya fresh tu maana kuna watu wanaendesha maisha kwa kufanya vituko na maisha yanaenda japo wanadharaulika. ......piga saundi hadi atakapo patikana wa ukweli....kama ww domo zege omba ushauri
[emoji1787][emoji1787][emoji91][emoji91][emoji91] mkuu mbona kama unaniandikia mimi huu ujumbe?
Najifanyaga mstaarabu sana[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Kijana mbona warembo wamejaa tele mtaani kwenu na wanakutamani? Oa mmoja ule raha!Ila maisha haya love is complicated kwa kweli. Yaani ukiwa single kuna wakati upweke unakuchosha hadi unatamani bora ungekuwa na girlfriend for consoling you.
Halafu ukiwa single kila relationship unayoiona ni happy duel kweli. Yaani hadi unawish ungekuwa wewe.
Ndo chanzo cha "natafuta marafiki wa Ku chat nao" Japokuwa wanasema mapenzi yanaumiza Ila kuwa single napo stress tu.
Alafu kwanza wastaarabu ndo wanachelewa kupata wapenzi Ila wale wazee wa kazi ndo wanaibukaga kidedea kama ma starring wa movie vile.
I wish if I loved someone that loves me it would be a good luck.
Mkuu mimi nipo single na ninafuraha sana kuliko nikiwa kwenye mahusiano, kumuwaza binadam ni kaz sana hasa ukiwa kwenye mahusiano yasiyo sahihi
Hahahah mi nafikiria nitapumzika mambo ya mahusiano endapo haya niliyo nayo yatavunjika.Ni kweli ila tukiangalia upande mwingine wa shilingi mapenzi ya sasa ukiyatazama kwa jicho la tatu wengi hawana nayo furaha mwenyewe nipo single ila kuna mtu anaweza kunifuata akaniambia heri yako asee upo single... Just imagine.kuna mtu yupo kwenye mahusiano anatamani bora angekuwa single na ambaye yupo single anatamani kuwa kwenye mahusiano....ila ndio hivyo kinachomfanya mtu kuwa single mara nyingi ni maisha aliyopitia.. na pia mapenzi ya sasa ni ya upande mmoja tu unakuta unampenda lady ila lady hayupo serious... Yaani mguu nje mguu ndani...hapo utatamani tu kuwa single