LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,512
Ndo mnajua leo?.!Ni utumwa uliokithiri
Ndo mnajua leo?.!Ni utumwa uliokithiri
Tupe uzoefu mkuuNdo mnajua leo?.!
Wengi huongozwa na tamaa za kimwili,! Macho hudanganya sio kila kitu ikionacho katika macho yako useme ndio.Matatizo huwa mnajileteaga wenyewe. Unafikiri ukitulia kwa mtu wako utakuwa mtumwa kwa watu wengine?. Swala ni kujitambua tu
The Most Winner
Si utumwa tu ni fedheha kwa mwanaume kuwa na wapenzi wengi.Kuwa na wapenzi wengi ni utumwa.
Ni sawa na mbwa kupigiwa miluzi mingi na kupoteza uelekeo. Ni sawa na mwanaume mmoja kuvutwa shati na wanawake watano n.k, mwisho wa siku shati linachanika na kubaki uchi huku wale wanawake wakikucheka ukiwa uchi.
Usipokuwa na msimamo kila mmoja atakuendesha anavyotaka. Ili kulikwepa hili kwa mabaharia ni bora uchape na uondoke na usirudishe majeshi, usiruhusu uhusiano wa kudumu; ni utumwa wa kifedha, kiafya na kifikra.
Hahahaha,nyambafu kabisa weye mkuu.Umeua bendi ya mangi!!!Usisahau kuzimwagia vitakasa mikono na kuzimwagia maji tiririka hizo mbunye na ukimaliza kuzichapa zifunge barakoa.
Mkuu wewe huwa unachepuka!? Jitahidi unipe jibu la ukweli!Si utumwa tu ni fedheha kwa mwanaume kuwa na wapenzi wengi.
Kweli mkuu,kubadilika ni muhimuActually ni zaidi ya utumwa!
Yani imeandikwa;
“Aziniye na mwanamke hana akili kabisa, afanya jambo la kuangamiza nafsi yake”
Yani ni kujitafutia kifo.
Sasa kwa nini iwe hivyo?!
Ugonjwa mbaya halafu mnakuja kusumbua watu kuwauguza kwa starehe zenu zisizo na utaratibu!
Yani mnatafuta kuwapa mtihani wanafamilia kuwauguza.
Ndiyo maana wengine wanawatelekeza wagonjwa wanaona hata kama ni kulaumiwa sawa tu.
Pampas zenyewe zinauzwa bei ghali.
Tutafakali na kubadili njia zetu turejee kwenye kujifunza na kuyapokea Mafundisho ya mwenyezi Mungu hapo ndipo tutaweza kuepuka njia za mauti na kubaki salama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu fanya maamuzi magumu mapema,hizo pesa unazaowapatia zingeweza kufanya biashara nzuri itakayokuokoa hapo baadaye.Mtoa mada umeongea ukweli,nna michepuko kama wanne hivi,sikukuu hii wamenikamua hela mpaka nawaza kuingia Advance Salary nipate japo ya kunivuta vuta kidogo, soon as possible naanza ku block mmoja mmoja [emoji35]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hilo ndio jambo la msingiKama ni utumwa, piga kimya, oa mmoja
Mkuu nimesha block wawili na wawili waliobaki nachakata mmoja baada ya mwengne then napotezea kabsa [emoji3]Mkuu fanya maamuzi magumu mapema,hizo pesa unazaowapatia zingeweza kufanya biashara nzuri itakayokuokoa hapo baadaye.
ha ha ha ha haya mambo yakuyumbishwa nimeshaanza kuona dalili zake mkuu; mchepuko kila baada ya masaa 2 anakutumia meseji...'unaendeleaje baby' bila kujua nina mambo mengine ninayofikiria familia yangu
Kama unataka ubaki njia kuu,mtafutie sababuWewe kama mm mkuu, mchepuko haelew kabisa yaani kutafutana kila muda
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unataka ubaki njia kuu,mtafutie sababu
Mbona kama una majibu kutoka mfukoni kwako tayari??
Hapana mkuu umedhani tu; huyu mkuu aje aueleze umma kwamba huwa hachepukiMbona kama una majibu kutoka mfukoni kwako tayari??