mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 20,458
- 36,481
Mungu asaidie ufanyie kazi haya maneno yakoKweli mkuu,ukiendekeza unaweza kuzeeka vibaya tu; wanatumia kilichochumwa na wengine...hawana faida zaidi ya tendo tu.
Mungu asaidie ufanyie kazi haya maneno yakoKweli mkuu,ukiendekeza unaweza kuzeeka vibaya tu; wanatumia kilichochumwa na wengine...hawana faida zaidi ya tendo tu.
Natumaini nitafanikisha mkuuMungu asaidie ufanyie kazi haya maneno yako
Kweli mkuu,ukiwa na wengi utayumbishwa sana,kila mmoja anavutia kwake- Focus na mwanamke mmoja katika maisha atakusaidia kutimiza malengo yako.
Zaidi ya tendo mkuu,unapata faida gani nyingine
Mkuu binafsi hapa nakuunga mkono,mahali pa kusifia tusifie mahali pa kuponda lazima tupondee.Sasa hivi nakuja na Operation 'teketeza michepuko'
Zaidi ya tendo mkuu,unapata faida gani nyingine
Ili familia iwe na amani jikite kwa mke mmoja,hawa wengine wa nje usiwape uhusiano wa kudumuHESHIMA..
Mwanaume lazma uwe jabar..
alafu ukiwa na pesa wanawake utawafurahia sisi masikini ndo tunaona kuwa na wanawake wengi ni shida sababu hatuna hela.
Tutafute hela tule starehe ya dunia hao ni wetu.
Ndo maana MUNGU karuhus wanaume kuwa na wanawake wengi.
Ila hajaruhusu wanawake kuwa na wanaume wengi JIULIZENI?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwaendekeza hawa wanakutoa kwenye mstari
Tokomeza kabisa michepuko,Familia yako itakuja kupata shida sana ndugu yangu,unaweza usione mda huu baada ya matokeo kuja baadae ukaja kuonaUkiwaendekeza hawa wanakutoa kwenye mstari
Kwa kuwa tayari umegundua tatizo lako.ha ha ha kwa nini mkuu
Kweli mkuu,ni sawa na injini ya IST ukaifunge kwenye loriKwa kuwa tayari umegundua tatizo lako.
1. Alafu unatumika sana.
2. Pesa ndani haikai.
3. Unakosa uhuru
4. Huwezi fanya kitu cha maendeleo makubwa kwa muda kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu,ni kwenda nayo kwa akili tuHaya mambo yana firisi sana.. ukiendekeza unaishia pabaya
Ni utumwa uliokithiriMaajabu mmeokoka!