Kuwa na mwanamke askari ni shida

Lakini askari polisi ni madikteta sana ndio maana naweza kuamini hii kitu.
 
Yupo WP mmoja hapa wa ghasia tumepanga nae duuuh ngoja nipunguze mazoea
Siku akikugundua una dili fek, au kajinai flani, hakukamati, ila atakuonyesha tayar anajulijua, na hana noma, kitakachofuata sasa ni mizinga ya buku 2, 5 ,10 na mikopo bila kurejesha, akiona umeanza kumchoka, sasa anakuuza kwa police wenzie
 
Hana nafasi ya kujiua mambo yangu
 
Hana nafasi ya kujiua mambo yangu
Hana nafas??? Ushaingiza urafk na mapenz au ndoa kabsa police asijue, na kasomea unafk Wa kipelelezi, cheza naye akufyatue, police Aksha kupa kisogo tu imekula kwako! Maswala la sijui rafk, mapenz, utaijua mwenyewe!
 
Wanawake ni wazuri pale unapowatazama wakipita mbele ya macho yako wakiwa wamejikwatua na kutikisa hizo mbambata zao....sina hamu nao.
 
Hana nafas??? Ushaingiza urafk na mapenz au ndoa kabsa police asijue, na kasomea unafk Wa kipelelezi, cheza naye akufyatue, police Aksha kupa kisogo tu imekula kwako! Maswala la sijui rafk, mapenz, utaijua mwenyewe!
Sio wote wanaoweza kufanya yale ninayoyafanya nikikwambia kuwa hana nafasi basi ujue huo ni ukweli mbona tunawamega sana hao watu
 
Siku akikugundua una dili fek, au kajinai flani, hakukamati, ila atakuonyesha tayar anajulijua, na hana noma, kitakachofuata sasa ni mizinga ya buku 2, 5 ,10 na mikopo bila kurejesha, akiona umeanza kumchoka, sasa anakuuza kwa police wenzie

We jamaa noma sana.
 
Jamani yule jirani yangu muda huu kafumaniwa na mkewew yupo njiani kuelekea Lock up.
 
Hahaaaa!!

Kanuni ni moja tuu.
Kumfanya mwanamke akupende na kuteka hisia zake.

Kama hujateka hisia zake na moyo wake amini Amin nakuambia hata mtoto wa Sekondari atakusumbua.

Naelewa unachozungumzia mkuu sema ninachojaribu kueleza ni namna ya kuuteka moyo wa mtoto wa kike. Baada ya kuuteka hawezi kukusumbua.

Unaweza kuvaa hata sare zao. Unaweza ukamwambia akupe hata siri za polisi. Unaweza ukachukua hata silaha yake.

Usihangaike na mwanamke hutamuweza na atakusumbua tuu. Bali hangaika kuuteka moyo wake. Jaribu kutafuta kipi moyo wake unakipenda na si kipi mdomo wake na macho yake yanasema au yanataka.

Kujua moyo wa mwanamke unataka nini ni zaidi ya kuchukua Phd. Ni kazi ngumu sema ukiiweza basi dunia yote ni yako
Toka nianze kufatilia mabishano yenu.
Hapo sasa Ndio Nimepata point yako.
Big up kiongoziii.
Mimi Nimekuelewa Sana sijui wengine.
 
Nilikuwa na WP wangu trafic wa Kinyaturu
Nilikuwa nimegonga madem wa kada zooote nimebakisha askari
Nilimpata kiulaini, alikuwa na papuch tamu,tyt flani hivi ila alikuwa hajui kudo, afande ananichokonoa sikio duuu,
Nilimuacha na anamimba ya Mwl mmoja iv, maafande wenzie wanajua ni yangu.
Ila raha kuushusha mkanda wenye bendera ya taifa kiunoni mwake.
Usijaribu kuoa WP, utajuta kuzaliwa
 
Back
Top Bottom